All parliamentary appearances
Entries 281 to 286 of 286.
-
7 Dec 2006 in National Assembly:
Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nami niweze kuchangia Hoja hii. Ni wakati ambapo sisi Wabunge tunatarajia kwenda kukutana na watu wetu na kukagua miradi ambayo tumekuwa tukifanya kwa muda mrefu. Ningependa kuishukuru hii Serikali kwa yale yote ambayo imefanya kwa miaka minne ambayo imekuwa uongozini. Tukiyalinganisha maendeleo yaliyoletwa na Serikali hii kwa miaka minne na kazi ya Serikali iliyopita ambayo ilikuwa uongozini kwa miaka 40, tutatambua kwamba Serikali hii imewafikishia maendeleo hata wale watu ambao walikuwa wamesahaulika kwa muda mrefu. Bw. Naibu Spika wa Muda, wakilisho langu liko katika eneo linalojulikana sana katika ...
view
-
7 Dec 2006 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, mhe. Maj- Gen. Nkaissery ndiye aliyekuja kuongoza kikosi ambacho kilikuja kuua watu. Wakati huu, kuna majeshi ambayo yanatengeneza barabara, yanajenga shule na sio kama yale ambayo aliongoza!
view
-
7 Dec 2006 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, Maj-Gen. Nkaisserry ndiye aliua chifu na kumaliza watu wangu. Yeye ni muuaji hatari!
view
-
1 Nov 2006 in National Assembly:
Thank you, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, for giving me this opportunity to contribute to the debate on this Motion. I would like to thank hon. Khamisi for bringing this very important Motion to the House today. When we talk about land, we touch on people's lives. The Government should now realise that without adequate land, people will scramble for the little that they can get. Let me talk about Kapenguria and Trans Nzoia. In 1814, the Pokot and Sabaot were moved from Trans Nzoia. The Sabaot were moved all the way to Mount Elgon and the Pokot were taken ...
view
-
21 Jun 2006 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili nichangie Hoja hii kuhusu Hotuba ya Bajeti ya mwaka huu. Kuna wimbo unaosema: "Ombea adui yako aishi maisha marefu ili aone baraka ambazo unazopewa na Mwenyezi Mungu". Waziri wa Fedha aliposoma Bajeti ya mwaka huu aliwapa Wakenya wengi matumaini ya maisha yao ya sasa na siku za usoni. Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa miaka mingi, jamii ya wafugaji haijashughulikiwa na Serikali yetu. Sisi kama Wakenya tulijitahidi sana kupigania Uhuru wa nchi hii na hatimaye tukaupata. Lakini tulipoanza safari ya kuendeleza shughuli za nchi hii, baadhi ya viongozi ...
view
-
19 Apr 2006 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I also want to join my colleagues in thanking Mr. Lesrima for bringing this important Motion today. 586 PARLIAMENTARY DEBATES April 19, 2006 There is nothing much we can say unless the officers in charge of security in Kenya come up and do what is necessary. This is not the first time hon. Members are discussing such an important issue that is affecting the security of Kenyans. It has become a play. Maybe, one wants to know what can so and so say and, thereafter, it remains in this House. I pray that we change ...
view