Samuel Gonzi Rai

Aspirant for

Parties & Coalitions

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

raigonzi@yahoo.com

Email

Kinango@parliament.go.ke

Telephone

0721278296

Telephone

0722355499

Samuel Gonzi Rai

Aspirant in the upcoming elections: Aspirant MP

Have information to add to our site about this aspirant?

All parliamentary appearances

Entries 451 to 460 of 531.

  • 26 Jun 2008 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I am not aware of that unless I am given specific information as to which residences we are talking about. view
  • 26 Jun 2008 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, the issue of a national land policy is actually at an advanced stage. Very soon, it will just find its way to the Cabinet and it will come before this House. view
  • 23 Apr 2008 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba pia niungane na wenzangu ambao wamekata shauri kuiunga Hoja hii mkono. Bw. Naibu Spika wa Muda, nataka kwanza kumshukuru Bw. Ethuro kwa kuleta Hoja hii katika Bunge hili. Mimi nawakilisha watu katika sehemu za mashambani. Ni jambo la kusikitisha kwamba watu hao wameteseka kwa sababu ya mambo haya ya vitambulisho kwa muda mrefu. Kama tungekata shauri kwa kauli moja kuipitisha Hoja hii, labda tungepunguza ule msongamano wa matatizo yanayowakumba watu wetu. Utakuta kwamba kuna baadhi ya watu ambao wamefika umri wa kuolewa na wanakaa mpaka wanazaa watoto wakiwa bado hawajapata vitambulisha, kwa sababu ya ... view
  • 25 Mar 2008 in National Assembly: Asante sana, Bw. Naibu Spika. Ninakupongeza kwa kunipa nafasi hii ili nitoe mchango wangu juu ya Hotuba ya mhe. Rais. Kwanza nataka kuwashukuru watu wa Kinango kwa kunichagua tena kwa kipindi cha tatu. Hii ni heshima kubwa kwangu. Nataka niwaahidi hapa kwamba nitafanya kila niwezalo ili kuona kwamba nitawatumikia vilivyo. Bw. Naibu Spika, nawapongeza waheshimiwa Wabunge wenzangu waliochaguliwa kujiunga na Bunge hili la Kumi. Nataka nichukue nafasi hii pia nikupongeze wewe kwa kuchaguliwa kuwa Naibu wa Spika. Hotuba ya Mheshimiwa Rais ilitupa kielelezo mwafaka katika hali ya kuweza kuliongoza taifa hili. view
  • 25 Mar 2008 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, sitaki kumjibu Bw. Kajembe kwa sababu ana sababu nyingi za kufanya hivyo. Bw. Naibu Spika, nataka nimshukuru Mheshimiwa Rais kwa kutupa sisi kielelezo katika Hotuba yake. Jambo ambalo ningependa kulisisitiza ni kwamba kwa muda wa miaka 44 ya Uhuru, sisi Wakenya tunaweza kujilaumu kwa hali mbaya hapa nchini. Kwa muda huu wote tumekuwa na Serikali na Mawaziri. Hata hivyo, ubinafsi umefanya kazi kwa muda mrefu kiasi cha kwamba ni vigumu kuweza kuyaona matokeo ya kazi nzuri ya kuwa na Serikali kwa muda huu wote. Hii ni kwa sababu kila anayechaguliwa kuwa na mamlaka hufikiria njia za kujinufaisha ... view
  • 25 Mar 2008 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, sitaki kumjibu kwa sababu hayo ni maoni yake. Ninataka afahamu kwamba kumewekwa mtu ambaye atakuwa anasimamia kazi ya watu fulani na basi huyu ni mnyapara. Yeye anaangalia kazi za watu wengine na kuhakikisha kwamba zinafanywa vizuri. Kama mhe. Mbunge hajui Lugha ya Kiswahili, basi atajifundisha muda atakapokuwa katika Bunge hili. Bw. Naibu Spika, wakati Waziri Mkuu mtarajiwa atakapoanza kazi yake, mhesimiwa Mbunge atajua kazi yake ni ipi. Kuna tofauti kati ya mawaziri na Waziri Mkuu ambaye atakuwa akifanya kazi katika Bunge hili. Mawaziri watakuwa wanajua kwamba wanafanya kazi zao lakini kuna mtu ambaye baadaye anaangalia kazi hizo ... view
  • 25 Mar 2008 in National Assembly: ili mambo mengine yaweze kunawiri katika mji wa Kinango. Tumepewa wilaya, lakini hatuwezi kuistawisha wilaya ile hadi tupate vifaa vingine ili tupate kuona tofauti kati ya tarafa na wilaya. Pia, ninaomba tupewe mbegu ili tuboreshe kilimo ili tujikomboe kutokana na hali ya kutegemea kupewa chakula kila wakati. Kwa hayo machache, niniaunga mkono Hotuba ya Mheshimiwa Rais. Asante sana. view
  • 17 Oct 2007 in National Assembly: asked the Minister for Finance:- (a) whether he is aware that Mr. Emmanuel Chikophe, a pensioner, (APN/PC 141174), has not been paid part of his monthly pension; and, (b) when the outstanding dues will be paid. view
  • 17 Oct 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, while appreciating the concern by the Assistant Minister, I would like to have from him, at least, a letter from Postbank, which will assist the pensioner to get his money from Kwale. He has been to Kwale three times after he collected part of his money in Nairobi. Could the Assistant Minister give me a copy of the letter which released the money to Kwale to assist the pensioner get his monthly pension? view
  • 17 Oct 2007 in National Assembly: The pensioner was in Nairobi in May, 2007, and was paid Kshs10,674.80 at the Postbank Headquarters in Nairobi. He was then directed by the Pensions Office to go to Kwale to collect the Kshs8,610, which is being alleged by the Assistant Minister. However, up to now, he has not been in a position to trace that money. What could the pensioner do to access his money? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus