Sara Paulata Korere

Parties & Coalitions

Telephone

0727027937

All parliamentary appearances

Entries 321 to 330 of 416.

  • 30 Jun 2016 in National Assembly: I beg to support. view
  • 20 Apr 2016 in National Assembly: No. view
  • 20 Apr 2016 in National Assembly: Yes. Thank you. I rise to support the amendment as proposed by the Chair. Many times land issues have been the biggest part of discrimination on the part of women especially where we have group ranches. Most women are not members of the group ranches. They do not participate in the group ranch elections. So, this is a good amendment. I am sorry for my friend but for a long time women have been the custodians of all the bad customs we have in this country. view
  • 14 Apr 2016 in National Assembly: Nakushukuru, Mhe. Naibu Spika. Nasimama kuchangia Hotuba ya Rais kwa Taifa iliyokuwa ya kufana sana. Mhe. Rais alidhihirisha miundo misingi iliyokuweko nchini wakati wa kubuniwa kwa taifa changa la Kenya mwaka wa 1963 ambayo ni umoja wa Kenya na uwiyano. view
  • 14 Apr 2016 in National Assembly: Hotuba ya Mhe. Rais ilidhihirisha mahali tumetoka na kule tunakoelekea. Wahenga walisema kuwa mwenye macho haambiwi tazama. Tukiangalia upande wa elimu, Serikali ya Jubilee imefanya mengi. Kwanza, tukiangazia ada ya mitihani iliyokuwa ikitozwa wanafunzi wa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 14 Apr 2016 in National Assembly: Kidato cha Nne na Darasa la Nane, imefutuliwa mbali. Pia, karibu shule 22,000 zimesambaziwa nguvu za umeme chini ya Serikali ya Jubilee. Baadhi ya shule hizo ni zile ambazo ziko mahali hakujawahi onekana umeme. Umeme umeonekana kwenye baadhi ya vijiji ambavyo vilikuwa vimesahaulika kwa miaka na miaka kama kule Doldol, ambako natoka. Sitima imefika huko. view
  • 14 Apr 2016 in National Assembly: Tukiangalia upande wa usalama, inafaa ifahamike kwamba chini ya Serikali ya Jubilee, usalama umeimarika. Serikali ya Jubilee, kupitia kwa Wizara ya Usalama na Undani, imeweza kudhibiti ugaidi kwa kiwango kikubwa sana. Yafaa ifahamike kwamba ugaidi ni vita vya kidunia si vya Kenya peke yake. Kwa upande wa usalama, tumeweza kuona magari ambayo idara za usalama na polisi zimepatiwa. Ninaamini tuko na nguvu za kuwafukuza na kuwakamata magaidi na wataisha. Lakini, tisho kubwa la usalama nchini ni baadhi ya matamshi kutoka kwa viongozi wa kisiasa haswa wakiongozwa na vinara wa Upinzani. Upinzani sharti uwe lakini uwe na mwelekeo. Si Upinzani hohehahe. ... view
  • 30 Mar 2016 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 30 Mar 2016 in National Assembly: My very good friend, Hon. Aghostinho Neto, and the soberest of all the Orange Democratic Movement (ODM) Members of Parliament I have known, is insinuating that there are mad men and women in the NLC. She is using very un-parliamentary language. view
  • 30 Mar 2016 in National Assembly: The member is misleading this House by insinuating that the NLC is an affiliate of CORD. He should withdraw or substantiate that. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus