Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 271 to 280 of 1870.

  • 30 Oct 2024 in Senate: We welcome all of you to this Chamber to see for yourselves what we do here and we hope every day that we, as the leadership, in Nairobi will make you proud. The Senate Majority Leader was saying that it was right for you to deny me the opportunity to welcome them because I went to some school in the bush. However, I am also a testament that as long as you work hard, it does not matter your circumstances. view
  • 30 Oct 2024 in Senate: You will end up with the Senate Majority Leader in the same House. I do not know which school you went to. However, I want to take this opportunity to welcome those students from Kianda and Starehe. Now that the three of us were given an opportunity to welcome you, you will also have the opportunity to meet all three of us outside there, so that if there are any issues that need to be attended, they say many hands make light work. view
  • 30 Oct 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate. view
  • 30 Oct 2024 in Senate: Bi. Spika wa Muda, kwanza, sisi wakaazi wa Nairobi tunazidi kutamaushwa sana na matukio haya kwa sababu visa vingi vinavyotendeka katika kaunti hii vinahusu wakaazi wa Nairobi. Huyo dada aliyeitwa Waris Dahabo Daud, mwanawe Amina Dahir na mpwa wake Nusayba Abdi walikuwa wakaazi wa Nairobi. Willis Ayieko pia alikuwa mkaazi wa kaunti hii, kama Sen. Kibwana alivyothibitisha kuwa alikuwa jirani wake. Ni Victoria Mumbua pekee aliyekuwa dereva wa taxi kule Mombasa ambaye mwili wake ulipatikana kule Nakuru. Yule dada mdogo aliyejulikana kama Seth Nyakio aliuwawa maeneo ya Thika. Juzi, dada mmoja aliyeitwa Lilian Muhavi alipatikana amenyongwa na mwili wake kutupwa ... view
  • 30 Oct 2024 in Senate: Hata MCA wa Wajir County, Mhe. Yusuf Hussein Abdi, alichukuliwa akiwa kwenye barabara za Nairobi. Sisi kama viongozi wa Nairobi, tutazidi kusisitiza kwamba asasi zetu za usalama lazima ziwajibike ili kutoa majibu kwa familia hizi na pia kuonyesha wakaazi wote wa Nairobi kwamba kuna usalama wa kutosha ili kuhakikisha kuwa watu wanaishi kwa amani. Bi. Spika wa Muda, tulipozungumzia swala hili mapema leo adhuhuri, kuna dada zetu waliokuwa wanatoa pingamizi kwamba labda tunasema sio swala la kina mama pekee kuuawa. Kusema kweli, takwimu zinaonyesha kwamba wengi wa walioathirika na visa hivyo ni kina mama na hatujakataa. Hata hivyo, naamini kwamba ... view
  • 30 Oct 2024 in Senate: ---bila mtu yeyote, hata chifu ama watu wa nyumba kumi ama ile view
  • 30 Oct 2024 in Senate: kujua kwamba kuna tukio fulani linatendeka? Hata hapa Nairobi City County, tulikuwa wakati ambapo tulizindua mfumo wa Closed Circuit Television (CCTV), zile kamera za kunasa matukio katika jiji letu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate. view
  • 30 Oct 2024 in Senate: Nilipomwuliza Douglas Kanja aliniambia ni asilimia sitini pekee ya jiji la Nairobi ambalo lina hizi kamera za CCTV. Kwa nini isiwe asilimia nia moja kwa sababu tuliambiwa kwamba mfumo huo wa CCTV ulikuwa umeimarishwa hapa jijini? Namalizia kwa kutoa pole zangu kwa familia hizi zote ambazo zimeathirika, na kuwahaidi kwamba, for as long as tuna sauti kama viongozi, tutazidi kutumia sauti zetu kuhakikisha kwamba haki inatendeka na wale ambao wamehusika wanaletwa mbele ya sheria. Asante. view
  • 29 Oct 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, you have been more than clear on the expectation of the Chairpersons of the Committees pursuant to the passing of a Motion in this House on the state of the nation. However, my reading of Standing Order No.255(2) enjoins not only the Committees. Mr. Speaker, Sir, if you look at the Motion, there were things that the committees were supposed to do; things that the Government was supposed to do, things that the independent commissions were supposed to do, and even holders of independent offices. By way of example, the very first resolution there is that we ... view
  • 29 Oct 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus