Teddy Ngumbao Mwambire

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 93.

  • 22 Aug 2018 in National Assembly: Mimi siongei tu kwa sababu natoka Pwani, ama kwa sababau ninawakilisha wakulima. Mimi ni mmoja wa wakulima na watumizi wa bidhaa zinazotoka kwa mnazi. Mimi ni mshirikishi mkuu ambaye niko hapa kwa hisani ya mnazi. Kumbukumbu zinasema kwamba kabla Kenya ipate Uhuru, mnazi ndio mmea ambao ulikuwa unashamiri zaidi kule Pwani. Ulikua mmea uliosisimua uchumi. Lakini kukawa na matatizo baada ya Kenya kupata Uhuru. Mimea yote iliyokuwa imepewa umuhimu wa kiuchumi kule Pwani, ukiwemo mnazi, iliondolewa umuhimu wa kiuchumi, na Wapwani wakakosa mmea wa kutegemea. Wengi wametoa faida na thamani za mnazi, ambazo hivi sasa ziko kwenye kiwango cha zaidi ... view
  • 22 Aug 2018 in National Assembly: Nchi mbalimbali, kama vile Seychells, India, Malaysia na zinginezo, zimeendelea sana kwa sababu zimeupatia shime mnazi kama mmea wenye bidhaa mbalimbali zenye uwezo wa kuleta msisimko wa kiuchumi. view
  • 22 Aug 2018 in National Assembly: Ninaunga mkono Hoja hii kwa asilimia mia moja. Wakati umefika wa Serikali kuangazia mmea wa mnazi ili iweze kuwafidia wakulima ambao minazi yao imeangamia. Wakulima hao wanastahili kupewa fedha ambazo zitasaidia kuendeleza ukulima wa mnazi kule Pwani na katika sehemu nyingine ambako mnazi unaweza kukuzwa. Hata katika sehemu za Ukambani kuna minazi. Kule Kisumu na katika sehemu nyingine nchini, minazi inaweza kukua vizuri. view
  • 22 Aug 2018 in National Assembly: Nina uhakika kwamba Serikali ikiwekeza kwenye mnazi, tutaweza kununua minazi aina ya michikichi ili tuweze kupata mafuta mengi, ambayo yatatuwezesha kuokoa zaidi ya Ksh12 bilioni, ambazo tunatumia kila mwaka kuleta mafuta kutoka nchi za nje ili tukimu mahitaji ya viwanda mbali mbali. Nina uhakika kwamba utafiti ukiendelea kufanywa kama ulivyokuwa ukifanywa katika miaka ya 2004 na 2005 – wakati Serikali ilipoangazia zaidi mmea wa Mnazi – wakazi wa Pwani wataanza kuhisi kwamba wao pia ni miongoni mwa watu katika nchi yetu ya Kenya. Ile hisia kwamba wao hawatambuliwi, na kwamba wanavumilia kuwa Wakenya, itaondoka. Wao pia watajivunia kuwa Wakenya kwa ... view
  • 22 Aug 2018 in National Assembly: Asante. view
  • 22 Aug 2018 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me an opportunity to contribute to this very important Motion. I fully support this Motion because it has come at the right time when we can make considerations in the Supplementary Budget as proposed by Hon. Mbarire. It has been a big challenge for very many women especially in the Arid and Semi-Arid Lands (ASAL) areas. The Government has shown some interest in addressing a number of issues, especially health issues. We have seen the Government distributing sanitary towels through the County Women Representatives. I feel that the Government should ... view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Asante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunizawadia fursa ya kuunga mkono Hoja iliyoko mbele ya Bunge. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Mimi siongei tu kwa sababu natoka Pwani, ama kwa sababau ninawakilisha wakulima. Mimi ni mmoja wa wakulima na watumizi wa bidhaa zinazotoka kwa mnazi. Mimi ni mshirikishi mkuu ambaye niko hapa kwa hisani ya mnazi. Kumbukumbu zinasema kwamba kabla Kenya ipate Uhuru, mnazi ndio mmea ambao ulikuwa unashamiri zaidi kule Pwani. Ulikua mmea uliosisimua uchumi. Lakini kukawa na matatizo baada ya Kenya kupata Uhuru. Mimea yote iliyokuwa imepewa umuhimu wa kiuchumi kule Pwani, ukiwemo mnazi, iliondolewa umuhimu wa kiuchumi, na Wapwani wakakosa mmea wa kutegemea. Wengi wametoa faida na thamani za mnazi, ambazo hivi sasa ziko kwenye kiwango cha zaidi ... view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Nchi mbalimbali, kama vile Seychells, India, Malaysia na zinginezo, zimeendelea sana kwa sababu zimeupatia shime mnazi kama mmea wenye bidhaa mbalimbali zenye uwezo wa kuleta msisimko wa kiuchumi. view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Ninaunga mkono Hoja hii kwa asilimia mia moja. Wakati umefika wa Serikali kuangazia mmea wa mnazi ili iweze kuwafidia wakulima ambao minazi yao imeangamia. Wakulima hao wanastahili kupewa fedha ambazo zitasaidia kuendeleza ukulima wa mnazi kule Pwani na katika sehemu nyingine ambako mnazi unaweza kukuzwa. Hata katika sehemu za Ukambani kuna minazi. Kule Kisumu na katika sehemu nyingine nchini, minazi inaweza kukua vizuri. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus