Vincent Kipkurui Tuwei

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 185.

  • 6 May 2021 in National Assembly: Napiga la. view
  • 6 May 2021 in National Assembly: Mmesikia? view
  • 6 May 2021 in National Assembly: I vote No view
  • 25 Mar 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for the opportunity. I join hands with my colleagues, especially on the matter before us, that we want to have Members of Parliament drawn from that list, that we find through the party and also participation to be very important, and have them here. It is good for us to join our lady Members of Parliament in this view, especially to satisfy the concerns that we have in our Constitution. We know that as we go debating the issue of the BBI, the issue of getting female Members of Parliament will be very critical. ... view
  • 11 Mar 2021 in National Assembly: Hon. Speaker, while I appreciate the concerns expressed by my colleagues. It is true the vaccine is not in the country. This disease infected livestock in our area. We have the African way of dealing with it which is kupea ng’ombe busaana kumpeleka mtooni asubuhi . That is the best way of dealing with the disease. That is how we treated our livestock. I am talking from experience. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika. Nachukua nafasi hii kwa niaba ya jamii ya Nandi na Eneo Bunge langu la Mosop kukupongeza sana kwa sababu ya kupewa heshima kubwa na jamii yako. Kuwa kiongozi sio kitu rahisi. Sisi kama jamii ya Nandi, pia tuko na wazee kama hao. Majuzi mliona tukipeana nafasi kwa viongozi wengine ili pia wabarikiwe. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Nami nakuambia kwamba jamii yetu pia itakuunga mkono kwa sababu wewe ndiwe baadhi ya wale wazee kwao tunasema “muacha mila ni mtumwa” kwa sababu ya mila zetu na taratibu zetu kama jamii. Kwa sababu jamii ambayo unatoka imeona kwamba unafaa, tunakuunga mkono na tunakuomba utumie nafasi hiyo kama balozi wa amani kwa sababu una tajriba ya kuwa wakili. Umekuwa hakimu. Umekuwa mwanasiasa. Sasa wewe ndiwe unasimamia Kiti cha Spika katika jamii. Mmetangamana na viongozi wote walio juu yetu kwa njia moja au nyingine—awe Rais, naibu wake au viongozi wa upinzani. Tunakuomba kwamba katika karne hii uwe kiongozi wa matumaini kwetu ... view
  • 23 Feb 2021 in National Assembly: Mhe. Spika, asante sana kwa fursa hii ambayo umetupa kujadili jambo hili la kushtua. Linashangaza sana kwamba Kiongozi wa Waliowengi anahitaji wiki mbili kupata jibu ambalo ni rahisi. Leo tumejadili ule Mswada wa kuangalia mambo ya pesa katika Wizara ya Masuala ya Nje na tumegundua kwamba suala hili limejadiliwa. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 23 Feb 2021 in National Assembly: Mhe. Spika, asante sana kwa fursa hii ambayo umetupa kujadili jambo hili la kushtua. Linashangaza sana kwamba Kiongozi wa Waliowengi anahitaji wiki mbili kupata jibu ambalo ni rahisi. Leo tumejadili ule Mswada wa kuangalia mambo ya pesa katika Wizara ya Masuala ya Nje na tumegundua kwamba suala hili limejadiliwa. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus