Willy Mtengo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 26.

  • 6 Jul 2016 in National Assembly: Asante. view
  • 15 Jun 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. At the outset, I rise to support the Petition by Hon. Mwangangi. As you might be aware, Athi River flows all the way into Magarini and Malindi constituencies and it divides the two constituencies as the border. This is our sole source of water for the county. Given the fact that we are aware that this water is contaminated, we would support any initiative that would enhance the cleaning of this river. You will also agree that when we were growing up, the wild animals found in this river, which we call Galana on our side, ... view
  • 15 Jun 2016 in National Assembly: chemicals that find their way into this river are affecting their numbers. So, we support this Petition. view
  • 7 Jun 2016 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I rise as an authority in matters maritime. I speak with a lot of confidence because I have been in this sector for very many years. I would like to declare from the outset that I support this Motion but with conditions. The efficiency of a port is not measured by its size but rather by the off-take of cargo both inward and outward. As much as we wish to support that the Government guarantees the Kshs27.30 billion debt, I am of the opinion that we, as Parliament and the Government, need to look at the ... view
  • 7 Jun 2016 in National Assembly: Our roads are already suffering. If you travel to Mombasa by road, trust me, you will find that from Voi all the way to Mombasa Port and out is chaotic. As much as we are looking at the growth of the port, there are other complementing factors that the Government has to look into. I know that once Phase II of the terminal is complete, we will have a high turnover of vessels because it will be in a position to accommodate bigger vessels and more cargo. But remember as we pile our containers six stack high and have a ... view
  • 7 Jun 2016 in National Assembly: hinterland countries to Dar es Salaam Port not necessarily because it is bigger than Mombasa Port or their infrastructure is 100 per cent better than ours, but because all those elements that contribute to the logistic chain support one another and they are efficient. I know once this facility is done it will spur the economic activities within Mombasa. There will be a lot of employment opportunities. We wish to support it. However, I am still adamant that the Government has to look at other supplementing and complementing factors in the logistics chain before we look at just one side ... view
  • 17 Mar 2016 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika. Kwanza kabisa, ningetaka kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwezesha haya yote. Vita vilivyonileta ndani ya Bunge hili ni kama hadithi ya Biblia ya Goliathi na Daudi ambapo Goliathi alipata kichapo cha mwaka. view
  • 17 Mar 2016 in National Assembly: Mhe. Spika, ningetaka vile vile kuwashukuru wenzangu, Wabunge wote wa pande zote mbili za Bunge hili tukufu, kwa mapokezi niliyopata. Kwa muda ule mchache niliokaa hapa, wengi wamenipokea vyema na wamenionyesha njia hapa na pale. Nina imani kabisa kwamba tutaendelea kushirikiana kwa minajili ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa Kenya. Hiyo ndiyo sababu msingi tuko ndani ya Bunge hili. view
  • 17 Mar 2016 in National Assembly: Mhe. Spika, vile vile, ningetaka kushukuru watu wa Malindi, haswa, kwa kunipigia kura kwa wingi: kura za hiari; sio kura za kununua; sio kura za vitisho; sio kura za kutuletea magari ya jeshi wala kutupigia kifua. Nawashukuru wote kwa sababu walijitokeza kwa wingi na wakanipigia kura kwa hiari yao. Kutoka chini ya moyo wangu, nataka niwakongole watu wa Malindi. Vile vile, nataka nimshukuru kinara wa chama chetu, Mhe (Eng.) Raila Odinga kwa mchango wake ndani ya kampeini yangu. Alijitolea kimasomaso. Ningetaka kumshukuru Mhe. Kalonzo Musyoka, Kinara-mwenza ndani ya mlengo wetu wa CORD. Singetaka kumsahau Mhe. Wetangula ambaye alichangia pakubwa, haswa ... view
  • 17 Mar 2016 in National Assembly: Sikumuona akitafuna Tambuu huko Malindi. Nataka kumshukuru Mhe. Wamalwa na Waheshimiwa wengine wengi wa Bunge hili la Kitaifa na wajumbe wa serikali zetu za ugatuzi waliotoka sehemu tofauti za Kenya kuhakikisha wamekuja kusaidiana na sisi ili kupata ushindi. Langu ni kuhakikishia watu wa Malindi na Wakenya kwa jumla kwamba tutasimama kidete. Enzi za watu kutishwatishwa kwa misingi ya kisiasa imepitwa na wakati. Sisi wa mlengo huu hatutatishwa kamwe na hatutayumba. Yetu ni kuchapa kazi tulete maendeleo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus