Zuleikha is grateful that her father’s postings abroad exposed her to a myriad of opportunities, which impacted on her life positively. While studying in South Africa, she recalls that she went through the stages of anger over apartheid. The realization of Zuleikha that one needed to be in politics to influence policy formulation prompted her to join politics. Initially, Zuleikha sought the Kaloleni parliamentary seat but was dissuaded. In parliament she has pushed the government to fund the National Youth Council.
18 Aug 2021 in National Assembly:
Bill was initiated in 2019 and has been going through the usual parliamentary procedures since then. Secondly, I personally propose this Amendment based on what I saw during and after nominations. Some Members alluded to and tried to misinform the House that this Bill has been made for some party leaders who want to come back to Parliament. I want to assure Members that no party leader wants to come to Parliament. It is evident that once a person is nominated and his name is gazetted, that in itself is as good as having the job already. It is against ...
view
7 Jul 2021 in National Assembly:
Thank you Hon. Speaker. I stand to ask Question 240/2021 to the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing, Urban Development and Public Works. Could the Cabinet Secretary explain plans in place by the Ministry, if any, to repair Mwachande Bridge in Lunga Lunga Constituency which was destroyed and washed away following heavy rains in 2014, considering that the bridge connects Lunga Lunga and Msambweni constituencies? Thank you Hon. Speaker.
view
6 Jul 2021 in National Assembly:
Hon. Speaker, I stand to ask the Teachers Service Commission (TSC) the following Question: (i) Could the commission explain the progress made in employing Islamic Religious Education (IRE) teachers in public schools across the country? (ii) What measures has the Commission put in place to ensure that the shortage being experienced with regard to IRE teachers is addressed soonest? (iii) Could the commission provide a list of all IRE and Christian Religious Education (CRE) teachers and their placement to schools across the country?
view
1 Jul 2021 in National Assembly:
(Kwale (CWR), ODM): Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii kuchangia huu Mswada kuhusiana na sheria hii ambayo imeletwa na Mhe. (Bi.) Odhiambo-Mabona ambayo itasaidia watu kupata watoto kwa njia ambazo si za kawaida. Mwanzo, naunga mkono Mswada huu hususan kwa watu wawili ambao wameoana, wanataka kupata watoto na wana shida kwa sababu ya njia moja au nyingine, na kuwa madaktari The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
1 Jul 2021 in National Assembly:
wamesema kuwa bado wanaweza kupata watoto ikiwa watatumia njia hii ya kiteknolojia ambayo inatumiwa pia sehemu zingine ulimwenguni. Kuna maswala tofauti katika huu Mswada ambayo ningependa yaweze kuondolewa wakati tutakuja kwenye Kamati kumaliza kazi ya Mswada huu. Mwanzo, nataka kutaja sehemu ya Katiba ya mwanzo kabisa, sentensi ya kwanza ya Katiba yetu inayosema kuwa Wakenya tunatambua ukubwa wa Mwenyezi Mungu na muumba wa viumbe vyote. Pia kuna sentensi nyingine hapo mwanzoni, ya tano nadhani, ambayo inasema kuwa kama Wakenya tumesema kuwa tutakuza na tutalinda hali ya afya ya sisi kama watu binafsi, jamii na nchi kwa jumla. Kitu cha kwanza ...
view
1 Jul 2021 in National Assembly:
ama mwanamke kwa mwanamke, kwa sababu bado jamii haijakubali. Kwa hivyo, hiyo ndio wasiwasi yangu kwamba hiyo itatumiwa kama njia ya watu kama hao kupata mtoto. Kwa hayo mengi na machache, shukran kwa nafasi hiyo.
view
30 Jun 2021 in National Assembly:
Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuchangia Hoja hii. Ningependa kushukuru Kamati ya Utekelezaji kwa kuleta Ripoti hii Bungeni. Malalamishi haya yamekuwa yakizungumziwa Bungeni kwa muda mrefu na kuchunguzwa kutoka 2015 nilipoleta malalamishi haya hapa Bungeni. Ningependa kuzungumzia mapendekezo ya Kamati hii na kusema vile hali ilivyo mashinani. Ningependa kujulisha Bunge kuwa kwa sababu ya malalamishi haya kwa niaba ya wafanyikazi wa Kwale International Sugar Company, kampuni hiyo imenipeleka kortini kunishtaki kwa kuwaharibia jina.
view
30 Jun 2021 in National Assembly:
Katika kuzungumzia mapendekezo ya Kamati, walizungumzia kuwa barua hazijaandikwa kwa wafanyikazi. Ningependa kueleza Bunge kuwa hadi sasa, hawajaandikwa kazi. Kampuni imekuwa ikitoa mikataba kwa wale wanaofanya kazi kwenye ofisi lakini wale wanaofanya kazi kwenye mashamba wameumia zaidi na bado hawajaandikwa. Kampuni hiyo haijaleta ushahidi wowote kwa Bunge au kwa Kamati hiyo kuonyesha kuwa wamewaajiri wafanyikazi hao wa mashambani. Kuhusiana na masuala ya wafanyikazi ambao wamefanya kazi hapo kwa muda The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
30 Jun 2021 in National Assembly:
mrefu, kampuni hii imewaajiri kama wafanyikazi wa muda mfupi na sheria za nchi haziruhusu kuweka watu hivyo kwa muda mrefu. Kuna wale ambao wamefanya kazi miaka tisa, kumi, kumi na moja, lakini bado hawajapewa mkataba. Ripoti ya Kamati inaonyesha kuwa bado hawajaandikwa mpaka sasa. Wengi wao wamesimamishwa kazi ghafla bila sababu na badala waandikiwe hiyo mikataba, wameachwa na hawajijui wako wapi. Kuna pendekezo kuhusiana na pesa ambazo wafanyikazi hawa wanadai kampuni. Nilipoleta malalamishi haya, Kamati ya Leba ilizuru eneo hilo na waligundua kuwa wafanyikazi walikuwa wanalipwa chini ya kiwango ambacho Serikali ilikuwa imeweka cha mishahara ya wafanyikazi wao. Walifanya hesabu ...
view
30 Jun 2021 in National Assembly:
Ahsante sana kwa kuniongezea muda. Ningeomba Kamati iwape adhabu kali zaidi kwa sababu hawajaonyesha nia ya kutekeleza lolote. Ni muhimu kwetu sisi kutetea haki za wafanyikazi hawa kwa sababu hawako kwenye muungano wa wafanyikazi wowote. Licha ya kazi iliyofanywa na Kamati, kampuni hii imeonyesha kuwa haina nia ya kutekeleza lolote na ningependa vitengo vya Serikali vichukue hatua na kufuatilia zaidi kuhakikisha kuwa haki ya wafanyikazi wa Kenya inalindwa. Ahsante sana.
view