All parliamentary appearances
Entries 1341 to 1350 of 1948.
-
16 Aug 2011 in National Assembly:
On a point of order, Madam Temporary Deputy Chairlady. The issues we are dealing with here are not child’s play but serious issues. Is it in order that I would rise, move an amendment and when the Question is put, I vote against the amendment that I have moved? Is it procedural? Is that not political infidelity and insincerity of the highest order?
view
-
10 Aug 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, nashukuru kwa kunipa fursa hii ili pia niweze kuchangia Mswada huu muhimu sana. Nitaanza kwa kusema kuwa ninaunga mkono kwa dhati sheria hii pendekezi ya kubuni tume ambayo ndiyo itakuwa mlinzi, au bawabu, wa haki za kibinadumu na wananchi wa taifa hili tukufu la Kenya. Ningependa kumshukuru sana Waziri was Haki, Utangamano wa Kitaifa na Maswala ya Kikatiba, mhe Mutula Kilonzo, kwa harakati zote ambazo amechukua kuhakikisha kuwa shughuli hii ya kutekeleza Katiba hii mpya inaenda kwa kasi inayostahili. Ni vyema Wakenya wafahamu kuwa utekelezaji wa Katiba si swala rahisi kwa sababu tumo kwenye shughuli ...
view
-
10 Aug 2011 in National Assembly:
Kwa hivyo, changamoto zile ambazo tunashuhudia katika safari hii ya kutekeleza Katiba mpya si changamoti ngeni. Ni changamoto ambazo mataifa yote ambayo yamejaribu kubadilisha misingi ya taifa jinsi ambavyo tunjaribu hapa yamekumbana nayo.
view
-
10 Aug 2011 in National Assembly:
Vile vile, nataka kumshukuru dada yangu, Mhe Naomi Shaban, kwa mchango wake, na hasa kwa kuwaahamasisha Wabunge kuhusu sheria hii ya Tume ya Haki, na vile vile sheria ile inayohusu tume ya kusimamia maswala ya jinsia na usawa. Tumekuwa kule Pwani wikendi iliyopita ambapo tulipata fursa ya kushughlikia sheria hizi mbili katika kongamano hilo; naamini limechangia sana kuwaahamasisha Wabunge na kutuweka katika hali bora kabisa kuchangia Mswada huu.
view
-
10 Aug 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, historia inatufunza kuwa hakuna jamii yoyote inayoendelea ikiwa ni jamii ambayo hailindi na haichungi kwa uangalifu sana maslahi ya wananchi wake. Katika mazingira ya dhuluma na ukandamizaji wa haki za kibinadamu, hakuna maendeleo yanayowezekana. Hata maswala ya umoja, amani na utulivu hayawezekani katika mazingira ya dhuluma. Hatuwezi kuwa jamii iliyo na umoja, usawa na amani ikiwa sisi ni jamii ambayo haitazami kwa makini haki za kila moja wetu. Jamii yetu ya Kenya ni jamii ambayo imekuwa na historia ya dhuluma. Imekuwa na historia ya ukandamizaji wa haki za wananchi wa taifa hili. Kumekuwa na mauji ...
view
-
10 Aug 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, ukitazama historia yetu utaona kwa miaka mingi wananchi walinyimwa haki za kujieleza, kufikiria na kutoa maoni yao. Huu ulikuwa ni ukandamizaji wa hali ya juu.
view
-
10 Aug 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda na Waziri wa Ardhi, Bw. Orengo, ni miongoni mwa viongozi walikuwa wahasiriwa wa dhuluma hizo za ukandamizaji wa wakati huo. Yetu ni historia iliyojaa dhuluma. Taifa letu liliwanyima nafasi watu walikuwa na maoni na misimamo tofauti ya kisiasa. Bw. Naibu Spika wa Muda, jambo ambalo tunalolishughulikia wakati huu tunapobuni sheria hii ni kuvunja minyororo ya ukandamizaji. Minyororo hii imewafunga Wakenya kwa takriban nusu karne tangu tupate Uhuru. Tume hii tunayobuni ni tume ambao ina misingi ya kikatiba. Tume hii inabuniwa kwa misingi ya Kipengee 59 cha Katiba mpya. Ni kipengee ambacho kimetoa fursa kwa Bunge ...
view
-
9 Aug 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to give notice of the following Motion. THAT appreciating the critical role Kenya Farmers Association (KFA) once played in the agricultural sector as a reliable supply chain for farm inputs and a marketing conduit for produce; noting with deep concern that the collapse of the 65-Member Kenya Farmers Association has adversely affected the welfare of the Kenyan farmer and the stability of the agricultural sector; aware that the said collapse of Kenya Farmers Association was a consequence of mismanagement and abandonment by the Government; acknowledging that the gallant efforts by farmers to revive the Kenya ...
view
-
9 Aug 2011 in National Assembly:
asked the Deputy Prime Minister and Minister for Local Government:- (a) why the construction of a modern market at Port Victoria, with 40 per cent of the work done stalled in 2008; and, (b) when the contract for the completion of the market will be awarded, when the contractor is expected on site and what the expected date of completion is.
view
-
9 Aug 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, this answer is laughable because there was absolutely no post-election violence in Port Victoria that could have occasioned the Ministry to classify that as one of the reasons why this project was interrupted. Be that as it may, I notice that even though works on this project stalled way back in 2008, the Ministry took three years to terminate this contract in May, 2011. This really is incredible. It is absolutely incredible that the Ministry took a whole three years to terminate the contract well aware of the difficulties that were encumbering this project. If, indeed, the ...
view