29 Sep 2020 in National Assembly:
kujua ni hesabu zipi ambazo ziliweza kutumika. Ni hekima ipi ama vigezo, almaarufu criteria, iliyoweza kutumika au ni sayansi ipi iliyoweza kutumika ikawa ni sehemu hizi mbili peke yake katika Kenya ndio zilizofaa kufungwa si mara moja bali kuendelea. Pili, ni muhimu kujua kutoka kwa Waziri ikiwa wameweza kufanya utafiti kujua hali ya kijamii na kiuchumi, baada ya athari za kufungwa. Serikali ina nia gani kuhusiana na wakazi wa Old Town na Eastleigh kuongeza mapato yao ya kiuchumi baada ya athari hii ya kufungiwa? Mwishowe, tunaomba waziri aongeze rasilimali hususa katika maeneo athirika kupitia mfuko wa kukabiliana na dharura ambao ...
view
24 Sep 2020 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Spika. Hili jambo kuhusiana na maswala ya miraa ni jambo ambalo ni tetesi, lakini nataka kukubaliana na mwenzangu, Mhe (Dr.) Pukose alivyozungumza kuwa, twawaomba na twawasihi ndugu zetu wale watakuwa wanatengeza hii ripoti, waangalie na athari zake. Upande moja ni kweli wenzetu wanaitegemea kwani ni kitegemeo cha uchumi, lakini kwingine, yafaa mkumbuke kwamba vijana chipukizi wanapoteza maisha yao kwa sababu ya haya mambo. Hususan siku hizi unapata muguka kipakti kimoja hivi kinakupeleka mbio na ni shilingi ishirini peke yake. Shilingi ishirini inakupeleka mbio ukajionakuwa wewe ni multi-millionaire na tunawasihi wanakamati, hii Kenya ni yetu sote. Ikiwa mnaangalia ...
view
24 Sep 2020 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Spika. Kupitia Kanuni za Bunge 44(2)(c), ningependa kuuliza Kamati ya Uchukuzi, kuhusiana na madai au ukweli wa kuunganishwa kwa mashirika ya bandari (Kenya Ports Authority), Shirika la The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
24 Sep 2020 in National Assembly:
Reli (Kenya Railways Corporation), na Shirika la kusafirisha mafuta (Kenya Pipeline) chini ya usimamizi wa shirika jingine la Industrial and Commercial Development Corporation (ICDC). Ningependa kuzungumzia Amri Kuu ya Rais ya tarehe 7 Agosti 2020 kuhusu mpangilio huu. Inasemekana kuwa muungano huo ni wa utendakazi peke yake wa mashirika husika. Tatizo ni kuwa Wakenya hawajahusishwa na mambo hayajawekwa wazi. Kwa hivyo, tunaomba tujulishwa kupitia Bunge hili ikiwa hili jambo ni kuunganisha ama ni jambo gani ambalo lilifanywa. Ikiwa ni masuala ya kuunganisha, basi wananchi walihusishwa kwa njia ipi kupitia yale matakwa ya Katiba, halmaarufu “ public participation ”? Najua umenipa ...
view
22 Sep 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I want to go not necessarily against the grain. My colleagues are requesting me in the background to speak in Kiswahili but I think for the right ears to hear me, it is important that they understand what I am going to say. Hon. Speaker, Article 259 of the Constitution of Kenya stipulates that the Constitution should be interpreted in a manner that contributes to good governance. When you look at the way the Chief Justice has interpreted this particular advisory to the President, I do not know whether it is in a demeaning manner, but ...
view
22 Sep 2020 in National Assembly:
predecessor of the current Chief Justice. So, I wish to urge my colleagues that this is not just an issue of gender rule. There are other laws that are going to be used to tackle us. We need to speak with one voice and one understanding. The principles of the Constitution are that the Constitution should be interpreted in a manner that contributes to good governance. Holding election for all constituencies in this country at this time and moment is not good governance. Who is going to pay for the elections? It is possible to hold elections now when the ...
view
15 Sep 2020 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Speaker.
view
15 Sep 2020 in National Assembly:
Hon. Speaker, I heard you say the last Question but I have a Question. I even confirmed with the Clerk-at-the-Table.
view
15 Sep 2020 in National Assembly:
I heard you say the last Question but I have an approved Question…
view
15 Sep 2020 in National Assembly:
Hon. Speaker, pursuant to Standing Order No. 44(2) (c), I wish to request for a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Health on the status of the Oxford University’s COVID-19 Vaccine trials in the country. Hon. Speaker, the Kenya Medical Research Institute (KEMRI) is currently engaged in multilateral partnership with the Welcome Trust and the University of Oxford under the KEMRI- Welcome Trust Collaborative Research Programme aimed at expanding the country’s capacity to conduct multidisciplinary medical research. Further, Oxford University has engaged AstraZeneca Plc, which is a British-Swedish multinational biopharmaceutical company based in Cambridge, England, to develop ...
view