10 Sep 2020 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Spika. Historia inajirejelea. Nakumbuka kauli ambayo wenzangu wameitaja ya kuwa Umma haukuhusishwa katika jambo hili licha ya kuwa ni sharti kikatiba. Hili ni Jumba ambalo linaenda na mambo yaliyotangulia kabla yetu. Miaka takriban miwili iliyopita nilipoinuka katika Jumba hili na kuzungumza ya kuwa mambo ya privatisation ya bandari ya Mombasa hayakuhusisha watu, baadhi ya watu walisema yale yale ambayo ndugu yangu Mhe. T.J. Kajwang’ anaambiwa – ya kuwa ana watu ambao anawasaidia. Wengine wameambiwa lugha hiyo kwa sababu ya kuzungumza sauti ile ya Wakenya iliyosababisha sheria ile ile kukataliwa. Kwa sababu haikufuatwa kisawasawa, ilienda nje na mahakama ...
view

Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I want to first and foremost, on my own behalf and on behalf of the people of Mvita, to congratulate my colleagues, Members of PIC, for allowing my stewardship together with the offices of the Speaker and the Clerk, and definitely the clerks who serve in our Committee. It is not a mean task to come up with a Report of 48 State Corporations. It is an in-depth Report which is 600 pages plus. I want to give an overview of this Report. I am glad that so many Members have contributed on this. ...

I want to tell my colleague in the National Assembly and legislators outside the National assembly that, the Constitution of this country has allowed us to deliberate and resolve issues in this House, in the county assemblies and in the Senate. However, the trend we are having of going to levels of insulting people’s mothers under the guise that it is politics, we will not get anywhere with it. If anything, this Committee, despite the Handshake, has been able to hold people accountable. This Committee and this very House, by the action of every single one of you in supporting ...

doing what necessarily needs to be done, which is ensuring that we follow the law and the Constitution to the letter. Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. I want to thank everyone. We have another Report on the Floor of the House and we will be tabling some more very soon. Thank you very much.

5 Aug 2020 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza nachukua fursa hii kuishukuru Afisi ya Spika, Afisi ya Karani wa Bunge, Wanakamati wenzangu 18, Wafanyakazi tofauti walio katika Kamati yetu na Wabunge wote kwa jumla. Hii leo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
5 Aug 2020 in National Assembly:
wataweza kuipitisha Ripoti hii ya kurasa 600. Nina imani ya kuwa tangu tulipoileta hii Ripoti na kuipeleka katika Bunge, Wajumbe wameweza kuisoma. Leo kuna jambo muhimu. Naongea kama Mkenya mmoja ambaye alichaguliwa na maelfu ya wanamvita. Naongea kwa niaba ya wenzangu 18 ambao wamechaguliwa na wenzao katika maeneo yao. Bunge hili likiweza kupitisha Ripoti hii, nina imani ya kuwa sauti ya Kenya itakuwa imewika. Kamati imefanya kazi yake. Naomba, kwa unyenyekevu, sekta zote za Serikali, kwasababu...Ndani ya Ripoti hii tumetaja watu ambao ni lazima Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) iwafungulie mashtaka. Tumetaja watu ambao hawastahili kushikilia nyadhifa katika mashirika tofauti ...
view