2 Feb 2022 in National Assembly:
Leo, tarehe 2.2.2022, nikiwa katika mkutano wa kamati, nilipatiwa habari ya kusikitisha na kuhuzunisha sana, ya kuwa katika eneo la Old Town, kuna moto mkubwa ulioweza kutokea na watu sita wamepoteza maisha yao. Kwa hivyo, tunavyozungumza, kuna mama na mtoto wake wanapata matibabu katika hospitali iliyoko karibu. Hamna badili ya maisha, na hata tukaweza kuzungumza vipi, hakuna njia ya kuregesha maisha ya walio aga. Hakuna lile ambalo tunaweza kulisema likawa ni dawa ya lile donda la moyo ambalo liko kwa wale waliopoteza watu wao. Sio watu wao pekee yao, bali ni watu wetu sote. Ni kuomba tu Mwenyezi Mungu panapo ...
view
2 Feb 2022 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, hivi leo tunapozugumza habari ya sheria hii ya community
view
2 Feb 2022 in National Assembly:
, kuna umuhimu ya kuwa wahudumu hawa walioko katika kila sehemu Kenya hii wapatiwe vifaa. Visiwe vifaaa vya kupigana na maradhi pekee yake, lakini pia waweze kupatiwa mafunzo ya huduma ya kwanza inayohitajika ili maafa kama haya yakitokea, kuwe na watu wanaoweza kupigana nayo kwa haraka. Hatusemi kuwa kuna badili ya kuweza kurejesha yaliyotokea, lakini panapo majaaliwa, Inshallah, naomba Bunge hili liweze kupitisha Mswada huu. Kama mwenzangu Daktari alivyozungumza, lazima waweze kupewa vifaa ambavyo vitaweza kuwasaidia.
view
2 Feb 2022 in National Assembly:
Panapo majaaliwa, watakao keti katika Bunge hili baada yetu wataendeleza kuhakikisha kuwa hawa community health workers wataweza kupata fedha za kutosha. Na sisi ambao tutakuwa katika sehemu zengine za kutumikia watu kule mashinani tuweze kuwahudumia kwa kuhakikisha kuwa tumepeana vifaa hivi kwa community health workers mashinani. Nasisitiza tena, jambo hili limetokea siku ambayo tunasoma sheria hii… Naibu wa Spika wa muda, kawaida yangu huwa ni mwingi wa kuzungumza ikiwa kuna jambo lolote linalohusiana na jamii, lakini naomba samahani kwa Wanamvita na Wakenya kwa jumla kwa kuwa ntapeana nafasi yangu kwa mwingine. Sio rahisi maneno kutoka baada ya kitendo kama hiki ...
view
2 Feb 2022 in National Assembly:
Asanteni sana.
view
29 Dec 2021 in National Assembly:
Mimi, Abdullswamad Sherrif, ningependa kuwaambia wenzangu kuwa ngoma ya watoto haikeshi. Njooni hapa tuwafundishe jinsi siasa inavyofanywa kama tutakavyowafundisha Agosti, 2022. Mtajua Opposition ni nini. Napiga kura ya ndio.
view
29 Dec 2021 in National Assembly:
Mimi, Abdullswamad Sherrif, ningependa kuwaambia wenzangu kuwa ngoma ya watoto haikeshi. Njooni hapa tuwafundishe jinsi siasa inavyofanywa kama tutakavyowafundisha Agosti, 2022. Mtajua Opposition ni nini. Napiga kura ya ndio.
view
2 Dec 2021 in National Assembly:
Hon. Speaker, I beg your indulgence. I think my point of order had…
view
2 Dec 2021 in National Assembly:
No, Hon. Speaker. It is not in regard to this business.
view
2 Dec 2021 in National Assembly:
Thank you very much. I have raised this matter.
view