2 Dec 2021 in National Assembly:
On the issues that I am about to explain.
view
2 Dec 2021 in National Assembly:
Hon. Speaker, we had raised issues with the Departmental Committee on Finance and National Planning and the Departmental Committee on Labour and Social Welfare. These matters regarded issues to do with reinstatement of 247 employees of the Kenya Ports Authority (KPA). The issue to do with the Departmental Committee on Finance and National Planning was on why the Kenya Revenue Authority (KRA) is enforcing PINs that are not from Mombasa and, therefore, they cannot collect their cargo the way they want. It is basically trying to imply that Mombasa is not part of Kenya. I have raised this concern several ...
view
2 Dec 2021 in National Assembly:
I would like you to give a Ruling on this matter because, every single day that passes, the livelihoods of the people of Mombasa are being jeopardised. Jobs are being lost, people are closing up factories, warehouses are being shut down, CFSs are being shut down, and livelihoods are being spoiled. It is just becoming too unbearable. If this House does not take that necessary action, we are once again looking at having Mombasa eventually become a ghost town whilst its representatives have raised these matters in the National Assembly.
view
2 Dec 2021 in National Assembly:
It was both the Chairperson of the Departmental Committee on Labour and Social Welfare and the Chairperson of the Departmental Committee on Finance and National Planning.
view
25 Nov 2021 in National Assembly:
Asante sana Naibu Spika wa Muda. Ninaomba mwelekeo kutoka kwako. Tarehe 16 Juni 2021, nilimuliza Swali Mwenyeketi ambaye anahusika na masuala ya wafanyikazi. Swali hilo linahusu wafanyikazi wa halmashauri ya bandari nchini, ama ukipenda Kenya Ports Authority (KPA) .
view
25 Nov 2021 in National Assembly:
Moja lilikuwa Swali na lingine Kauli . Yakawa mambo ni mawili katika moja. Jambo la kwanza linahusu nyongeza ya mishahara. Pili, kulikuwa na vijana 247. Wanakamati walioko hapa watakubaliana na mimi kuwa vijana chipukizi waliajiriwa lakini baada ya kila miezi michache wanaambiwa waendeni nyumbani wataregea. Licha ya kwamba KPA ilivunja sheria, kwa sababu sheria ya Kenya haikubali mpangilio huo; wasimamizi wakakubali kuwa wataelezea washaajiri watu wangapi tangu siku hiyo. Sasa ninaomba mwelekeo kwa sababu kuna taarifa ya kwamba wametangaza nafasi za kazi mia mbili. Waziri alitoa notisi kwamba ifikapo Novemba, Kamati itapatiwa jawabu kuhusu wale wafanyikazi 247 na kujulishwa ni ...
view
25 Nov 2021 in National Assembly:
Yalikuwa Maswali mawili. Swali la kwanza linahusu Kamati ya Leba na Ustawi wa Jamii, na Swali la pili linahusu Kamati ya Fedha na Mipango ya Kitaifa. Katibu Mkuu wa Kamati ya Fedha na Mipango ya Kitaifa atakubaliana na mimi na anahisi yale tunayozungumzia.
view
25 Nov 2021 in National Assembly:
Tayari muda umepita, Mhe. Naibu Spika wa Muda.
view
17 Nov 2021 in National Assembly:
Asante sana Naibu Spika wa Muda. Ni kweli na imekuwa pigo kubwa mno. Leo itakuwa ni siku ya nne tangu tuwapoteze wapenzi wetu Ali Omar Naaman, Carol Wayua, Elysian Musyoki na Athman Mohammed. Leo tunazungumzia sharia, jinsi vikundi vinafaa kusajiliwa na vile vitaifadhika. Kati ya wale wangehusika zaidi ni hao tayari, wameenda mbele za haki. Kwa Allah tunatoka na kwa hakika, kwake tutaregea. Ninaomba Mwenyezi Mungu atujalie sote tuwe na subra katika wakati huu wa huzuni. Kila nafsi itaweza kuonja kifo. Leo wametangulia nasi tuko nyuma yao. Leo, tunazungumzia kuhusiana na sheria ya jinsi vikundi vitasajiliwa. Kuna kitu hapa kimenifurahisha ...
view
17 Nov 2021 in National Assembly:
Nimeona hapa kuna submissions zimeletwa na Council of Governors (CoG) na wameweza kuelezea kwamba hawakufurahishwa na baadhi ya vipengele hapa. Hii ni kwa sababu Katiba ya Kenya inasema kuwa maswala ya kijamii ni lazima yashughulikiwe na serikali za kauti. Lakini kwa mtazamo wangu mimi na wa kamati iyoleta Mswada huu ni kuwa haya ni mambo ambayo yako chini yetu. Tunapaswa kuweka na kuhakikisha kwamba tumewalinda wale ambao wanajaribu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view