17 Nov 2021 in National Assembly:
kujizatiti na kuunda vikundi vyao. Leo wangapi wameweza kujifaidi na Uwezo Fund, WomenEnterprise Fund na Youth Enterprise Development Fund?
view
17 Nov 2021 in National Assembly:
Kwa hivyo, nakubaliana na sheria hii kuwa ni lazima kutakuwa na mabadiliko madogo hapa na pale. Lakini la muhimu zaidi ni kuwa hii ni sheria ambayo sote tunaweza kuipiga pambaja ili wale wenye kuitumia na kujisajili kwa vikundi waweza kuhifadhika na sheria tutakazo weka.
view
17 Nov 2021 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda.
view
17 Nov 2021 in National Assembly:
Nakubaliana naye. Kama nilivyo elezea mwanzoni, nakubaliana na hii sheria mia kwa mia.
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, the gentlemen and ladies from the United Democratic Alliance (UDA) are calling it yellow. The ones from other parties are calling it their colour. But I think my heart, body and soul are painted orange and we are the loyalists of the party, the tie notwithstanding. I wish to inform my sister that this is a lime- green tie.
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
I know I am on demand on the other side, but I am afraid to say that I belong to the Orange Democratic Movement (ODM).
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, Hon. Millie mentioned something regarding the Kenya Coast Guards. Recently, I had a meeting with all the Border Maritime Units, including the Kenya Coast Guard, the Kenya Maritime Authority and the rest. Hon. Millie will be in agreement with me that some of these fishermen have more experience than even some of their trainers in coxswain operations. However, they are now being told that they have to pay for those licensces. It is important that those of us from the lake and ocean region form our own caucus to ensure that these levies are removed. Our fishermen ...
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika, nakubaliana sana na Mhe. Duale lakini akumbuke wakati mimi na Mhe. Kajwang’ tulipokuwa tukipinga makabila mengine kupatiwa nafasi kuliko makabila mengine, kuna baadhi walikuwa wakipiga kongole.
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
Tena walikuwa wakipiga kongole wakisema kuwa ni sawa. Ni mara ngapi hapa wenzangu walizungumza habari ya “tuongea sasa.” Waswahili wanasema kuwa ukitaka kujua jinsi ulivyonyeshewa aanza kujiuliza tone la kwanza lilikupiwa wapi.
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
Nyinyi ndio mulisababisha mtindo huu ikiwa leo, na ni lazima mukubali makosa mliyowafanyia Wakenya. Hamna njia nyingine isipokua mregee nyuma muombe msamaha kwa Wakenya ya kuwa mliwakosea. Na njia ya kuomba msamaha ni kusema ya kuwa mnakubaliana na sisi ambao tunataka azimio la Kenya. Leo wengine wananza kuongea juu ya baadhi ya majina. Tena angalia hekima zao. Wanajua vipengele vya Katiba ambavyo miaka yote tulikuwa tukizungumzia hapa ya kuwa Wapwani hawapatiwi nafasi. Ndugu zetu kutoka Kasiskazini Mashariki hawapatiwi nafasi na ndugu zetu kutoka Luo Nyanza hawapatiwi nafasi. Leo, kwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information ...
view