Abdulswamad Sheriff Nassir

Parties & Coalitions

Post

PO BOX 16735, Mombasa, Kenya

Email

asnassir@radiorahma.co.ke

Link

Facebook

Telephone

0722333109

Telephone

0737333109

Link

@Asnassir on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 1018.

  • 10 Nov 2021 in National Assembly: sababu imekuwa ni sawa kwa wengine, mnasahau kuwa haya yamefika hapa kwa sababu yenu nyinyi sio kwa sababu nyingine. Sasa hivi, majina yanabadilishwa katika EACC ni mawili. Nakubaliana na former Leader of the Majority Party ambaye namtambua kama kiongozi wangu, lakini nataka tumkumbushe haya majina mengine yote ambayo anasema si kikatiba yeye na wenzake ndio walioyapitisha katika Bunge hili. view
  • 10 Nov 2021 in National Assembly: Nataka kuelezea kwamba moja ya majina haya ni la Mpwani. Hili jina linalotajwa hapa, Alfred Mutweta Mshimba, ni Mpwani. Ameweza kuregesha sehemu nyingine ya Mpwani. Hivi leo, ningependa kuwaambia hao wenye kulalamika wazungumze kwa pumzi hiyo hiyo kuhusu majina hayo. Baada ya hii, kuna Privatization Commission na sioni jina la Mpwani hata mmoja. Ningependa kuwaambia wazungumze ili watu wenu watolewe ili wawekwe watu wetu. Tena baada ya hapo, kuna Competition Authority of Kenya na, vile vile, sioni jina la Mpwani lakini naona majina mawili mawili ya makabila mengine. Ningependa kuwaambia wazungumze vile vile na kwa hisia hizo hizo ya kuwa ... view
  • 10 Nov 2021 in National Assembly: (Spoke off-record) view
  • 10 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. view
  • 10 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I am looking at the names that are here and I want to particularly point out the name of Mr. Sala Aden Abdi. I want this to be something that every single Kenyan out there should take note of. It does not matter where you are from. With hard work, you can be something in this country. The Privatization Commission is a no mean commission. It is about privatizing State corporations and entities. Mr. Sala Aden Abdi, who originates from Wajir and was the MCEC for Finance at the Wajir County Government, is the right ... view
  • 10 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I just want to inform the Chairperson of the Committee that the issue was not the Committee’s amendments. There is no fight. As a matter of fact, we had no issues whatsoever with what the Committee had recommended. It was actually declared that the only amendment that the Committee had recommended on the issue of Hajj should not be on the Order Paper. Other than that, we were supposed to harmonise with Hon. Millie, which we did. We actually took time to go through all those amendments. If I am not mistaken, to be ... view
  • 10 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I think Hon. Kajwang' is right based on the document that he is holding. This is because the document that he is holding seems to be a different document. I am saying this with a lot of jurisdiction considering that he was also of the same opinion earlier on that when we were at Committee of the whole House debating Delegated Legislation issues. He has a wrong document. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 10 Nov 2021 in National Assembly: With ten minutes to go, I still hope we can be able to make some progress. view
  • 9 Nov 2021 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika. Nakubaliana na alivyozungumza Mhe. Duale, kwamba tusiwe watu wanaozugumza lugha nyingine hapa na kule nje tunazungumza lugha tofauti. Siyo kuwa Wakenya hawatuoni. Kila mmoja hapa ikifika siku ya Ijumaa, anarejea mashinani na hadhara ya watu wanaomzingira si chache. Kisha hapa tuweka sheria yani sisi wenyewe kifalme falme hatufai kukaa baina ya watu wawili. Lakini tukifika kule nje, hakuna hata siku moja umesikia mtu akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kisiasa kwamba watu wapeane nafasi ndiyo wavute pumzi. Wengi hapa wamezungumza kuwa kuna matatizo katika nchi zingine ambazo idadi ya watu waliochanjwa ni kubwa. Lakini pia tukumbuke kuwa ... view
  • 9 Nov 2021 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Speaker. First of all, I want to congratulate you on the great wisdom. You will note that my amendments on the issue of Hajj came after the Committee proposed. I only said that there is no need for them to be the ones handling Hajj, and if anything at all, they should just license them. With that said, now that you have made that ruling, my amendment automatically takes a back seat. I had a word with Hon. Millie, and had a meeting with a number of other Members earlier on. With your indulgence and ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus