Abdulswamad Sheriff Nassir

Parties & Coalitions

Post

PO BOX 16735, Mombasa, Kenya

Email

asnassir@radiorahma.co.ke

Link

Facebook

Telephone

0722333109

Telephone

0737333109

Link

@Asnassir on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 621 to 630 of 1018.

  • 22 Nov 2016 in National Assembly: then should have punitive action taken against them. We need to have a clause on that inserted in this Bill. I beg to second. view
  • 22 Nov 2016 in National Assembly: then should have punitive action taken against them. We need to have a clause on that inserted in this Bill. I beg to second. view
  • 22 Nov 2016 in National Assembly: Let us have Hon. Gikaria. view
  • 22 Nov 2016 in National Assembly: Let us have Hon. Gikaria. view
  • 17 Nov 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I wish to do more research on the Bill and that is why I removed my card. view
  • 11 Oct 2016 in National Assembly: Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda. Leo, nimekuwa kitinda-mimba katika wazungumzaji. Nimekuwa wa mwisho kabisa. Kwanza, ningependa kutoa kongole kwa Seneti kwa kuuleta Mswada huu katika Bunge. Kwa sababu nimeusoma huu Mswada, ningeomba Kamati ya Elimu katika Bunge hili ipewe nafasi ya kuangalia sheria ya elimu iliyoko ili tuweze kuizingatia kikamilifu, haswa Ibara ya 35, ambayo inasema ni lazima kila shule iweke orodha itakayoonyesha ni watoto wangapi wameweza kupata elimu katika shule hiyo, na kuonyesha tarehe ya kuzaliwa ya kila mtoto. Vile vile, shule zinatakiwa kuonyesha jinsi watoto wanavyoweza kusoma, iwapo kuna watoto ambao wamelipishwa pesa zozote, jinsi masomo ya ... view
  • 6 Oct 2016 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika. Nimesimama kuiunga mkono Ripoti hii ambayo ilitungwa mwaka wa 2014 and kuletwa hapa Bungeni mwaka wa 2015. Kwa ufupi, Ripoti hii iliandikwa kulingana na hesabu ya Wakenya iliyofanywa mwaka wa 2009. Katika idadi ya Wakenya ya milioni 38.6, Wakenya milioni 19.15, ambao ni asilimia 50, ni watoto. Katika idadi hiyo ya watoto, milioni 17.66 ni wale walio chini ya umri wa miaka mitano, ambao ni asilimia 20. Watoto milioni 1.92, ambayo ni asilimia tano, ni watoto ambao wako chini ya umri wa mwaka mmoja. Ripoti hii inaonyesha kuwa watoto milioni 8.81, ambayo ni takriban asilimia 46 ... view
  • 4 Oct 2016 in National Assembly: Asante sana Naibu Spika wa Muda. Ni jambo la kusikitisha kuwa hii Serikali inafanya mambo yale yale ambayo yalifanywa na Serikali zilizopita. Tunachukua kizibo cha mraba nia na madhumuni ikiwa ni kuhifadhi pengo la mduara. Hii si mara ya kwanza ambapo tunaongea kuhusu jambo hili. Mwaka uliopita, wakati shirika la KQ lilipotangaza hasara ya mabilioni, Bunge hili lilikaa chini tukazungumza na kuliwaza jambo hilo. Mwishowe, watu walitoa hisia zao na kila mmoja akatoa duku duku lililokuwa kwa roho yake. Lakini suala ni lile lililofuata baada ya pale. Serikali ya Jubilee iliamua kuipatia KQ billion inne. Kwanza, The electronic version of ... view
  • 4 Oct 2016 in National Assembly: hizi fedha hazikuidhinishwa na Bunge ili shirika hili lipewe. Makosa haya haya tunayoyafanya katika shirika hili yamefanywa katika mashirika kama vile Mumias Sugar. Tukiangalia historia ya Kenya, mashirika yaliyopewa kipao mbele kuleta fedha katika nchi hii ikiwemo Nzoia Sugar, Telkom Kenya, Kenya Railways yamedidimia na ukiangalia, hata kwa akili za mtoto mchanga, hii ni mipangilio ya watu ya kuvuja pesa za umma na tunayaregerea. Tuna baadhi ya watu ambao tuko katika Kamati ya Fedha, Mipango na Biashara. Nakumbuka KQ ilileta ombi ili wahifadhiwe wasilipe ushuru wa VAT. Wengine wawe wanalipa lakini wao wasilipe. Shirika hili lilipewa jawabu na Bunge kupitia ... view
  • 4 Oct 2016 in National Assembly: Nawaomba wenzetu kama hawana suluhisho la kutatua hili donda sugu la uvujaji wa pesa za umma, waachie watu ambao wataweza kuiendeleza na watu ambao watahakikisha kuwa pesa za umma hazivujwi au kupotea kiholela holela. Historia itatuhukumu. Historia italihukumu Bunge hili. Nawaomba wenzangu katika pande zote tusiliangalie jambo hili kwa minajili na tusiwe wenye kusifu, kupiga kelele na duru huku tukiwa na nia na madhumuni ya masuala ya vyama. Tuangalie nchi na maslahi ya wananchi kabla ya mambo mengine yote. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus