4 Oct 2016 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika Naibu wa Muda.
view
17 Aug 2016 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Mimi ni mmoja wa Wabunge wanachama wa Kamati ya Uwekezaji wa Umma (PIC). Kamati hii ina Wabunge 27 na maafisa sita. Kazi yetu ni kukagua ripoti za ukaguzi wa hazina za umma kuona iwapo hazina hizo zimewekwa kwa njia ya hekima na jinsi inavyohitajika. Leo tuko hapa kuzungumzia hazina ya YEDF. Jukumu la hazina hiyo ni kutoa mikopo kwa vijana ili waweze kuanzisha biashara na
view
17 Aug 2016 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
17 Aug 2016 in National Assembly:
kutoa wasia kwa mabenki ili tuwasaidie vijana kwa kuwapatia mikopo waweze kuweka akiba zao pamoja na mambo ya kujenga masoko. Ripoti hii inaonyesha wazi kwamba Kshs180,000,000 zimepotea kiholela. Kamati hii ilidadisi mashahidi 19 kwa muda unaohitajika. Ni ombi letu kwamba Serikali iwachukulie hatua mwafaka wahusika wote kwenye sakata hii. Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa YEDF waliketi chini wakaamua kuchukua Kshs400 milioni kutoka kwa YEDF na kuziweka katika Chase Bank ili pesa hizo ziweze kuzaa riba badala ya kutumika kuwasaidia vijana wetu. Fedha hizo ziliibiwa taratibu tarehe mbalimbali, zikiwemo tarehe 11 Februari 2015, ambapo Kshs115,710,000 ziliibiwa, na tarehe 27 Aprili 2015, ...
view
17 Aug 2016 in National Assembly:
Kwa hivyo, licha ya kuwa Shirika la Hazina ya Vijana lilikuwa na mkataba na shirika lingine la kupeana huduma za Tehama, walienda kinyume na sheria bila kuchagua, kukagua na kupitia majadiliano yoyote yanayohitajika na kupeana Kshs180 milioni. La kushangaza ni kuwa Benki ya Chase ilikubaliana na barua kutoka kwa mwenyekiti. Wakamkubalia kutoa pesa na sahihi ya mtu moja na kufanya atakavyo. Hili ni Jambo la kusitikisha.
view
17 Aug 2016 in National Assembly:
Nikimalizia, Ripoti hii inaonyesha wazi vile pesa zilitumika. Tunaisihi Serikali ifanye inavyohitajika na mojawapo ni kushika zile raslimali. Katika Ripoti hii, tumefanyia Serikali udadisi na uchunguzi. Wabunge 27 and makarani sita, tulihakikisha kwamba njia ambayo zile fedha zilitumika imejulikana. Majumba ya kifari yalinunuliwa katika mji huu wa Nairobi. Pesa zilivyoenda kwa wenye kuhusika na hongo zilitolewa na kutumika. Ni ombi letu kwamba Wakenya wahakikishe Serikali imefanya jukumu lake na tatizo la nchi limeishia kuwa si wizi tena. Tatizo ni kuwa watu wanaiba jinsi ya wezi wa mabavu bila kujali jambo lolote. Mtu anahisi kuwa akiweka sahihi na kutoa mamilioni kama ...
view
17 Aug 2016 in National Assembly:
Kwa niamba ya Mwenyeketi wetu aliye hapa, na mkuu wa makarani, dadangu Bi. Susan, ninatoa shukrani kwa wenzangu wote walioweza kuweka juhudi na kuhakikisha kuwa nyuso za Wakenya zimeinuliwa na ile dalili ya kuwa fedha za Wakenya zitarejeshwa.
view
16 Aug 2016 in National Assembly:
Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. I wish to congratulate the Public Accounts Committee (PAC) and---
view
16 Aug 2016 in National Assembly:
Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. I wish to congratulate PAC on this excellent Report. It is a 466-page document. They have done well under Article 95(4) (a), (b) and (c) of the Constitution on the role of the National Assembly. This Report of 466 pages for the year 2013/2014 talks about how billions have been lost by this Government when Kenyans are dying of hunger and when our athletes are being mistreated due to lack of funds. Because of time, I just want to touch on a few issues. The first one is that of IFMIS, which ...
view
16 Aug 2016 in National Assembly:
The report indicates that out of Kshs66.7 billion, they have been able to account for about Kshs40 million. This Government spent Kshs24 billion in unapproved expenses. The question is: “What is our role in the National Assembly if they decide to spend money without our approval?” That is a dictatorial type of governance where they can spend money however they wish. Over and above what was approved for particular projects, an extra Kshs24.5 billion was spent in excess expenditure. Back to the infamous Eurobond, this Government is yet to account for Kshs150 billion. This is as per the Auditor-General’s Report. ...
view