16 Aug 2016 in National Assembly:
I would have gone further but time is not on our side. I want every member to go through this Report. We need to support it and ensure that those who are behind the misuse of public The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
16 Aug 2016 in National Assembly:
funds and those who are going against the Constitution of this country are brought to book. Thank you. I support this report.
view
19 Jul 2016 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Hili ni jambo la kusikitisha. Tunaishi katika nchi ambayo kwa miaka tisa, shule 350 zimeteketezwa. Kama wenzetu walivyotangulia kusema, asilimia 99 ya shule hizi zote ni za umma. Itierio Boys High School ilichomwa kwa sababu vijana walikatazwa kuangalia mechi ya Euro 2016. Kukatazwa kwao kuangalia mechi hiyo ni dalili tosha kuwa walimu walikuwa wanawapatia ruhusa ya kujivinjari wakati ambao wanafunzi wanafaa kuwa shuleni. Wataalamu katika sekta ya elimu wanasema kuwa baadhi ya shida tulizonazo ni wanafunzi wana hofu na taharuki kufanya mitihani. Pili, hatuna njiia mwafaka ya kupeana nasaha kwa wanafunzi hawa kwa ...
view
19 Jul 2016 in National Assembly:
Ninashukuru sana kwa sababu nilikuwa ninasikia short wave huko nyuma. Pili, wizara husika na Serikali hazijachukua njia mwafaka ya kuangalia shule hususan shule za mabweni. Hapajawekwa njia mwafaka ili walimu wapewe mafunzo ya kuzungumza na wale wanafunzi.
view
19 Jul 2016 in National Assembly:
Ninataka nichukue mfano wangu mimi pamoja na wabunge 16 wa Seneti na Bunge la Kitaifa. Mhe. Anami alikuwa mwalimu wetu wa muziki. Leo hayuko hapa na sisi. Ninatamani, kupitia kwako Mhe. Naibu Spika wa Muda, sauti ifike kwa wakenya wengine. Tulipokuwa shuleni, wakati mmoja wafanyakazi waligoma. Wafanyakazi wote wa shule ya Lenana School ambayo ni ya kitaifa waliamua kugoma lakini kwa sababu ya ukakamavu na urafiki wa walimu, na kwamba walimu hawakuwa na ubinafsi hususan mwalimu mkuu, tulipanga kujipikia wenyewe. Chai ya asubuhi ilikuwa inapikwa na mwalimu mmoja au wawili lakini waliokuwa wanasimamia walikuwa ni wanafunzi wa kidato cha kwanza ...
view
19 Jul 2016 in National Assembly:
zamani jinsi watu walivyokuwa wanafunzwa katika shule. Wabunge 16 wako hapa na sote tumetoka shule moja. Tuna nidhamu ya hali ya juu. Asante sana.
view
5 May 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I hope that as a Member of the Departmental Committee on Finance, Planning and Trade, I will not be denied my chance to contribute. I am simply congratulating the gentleman’s agreement between the Leader of the Majority Party and my Chairperson. As a Committee, we are yet to table our report that will give each and every Member an opportunity to contribute.
view
5 May 2016 in National Assembly:
That is what I am saying, Hon. Temporary Deputy Speaker. I would like an opportunity to debate the Motion when other Members will have a chance to contribute. I was simply congratulating the Leader of the Majority Party, and my Chairperson for the gentleman’s agreement.
view
5 May 2016 in National Assembly:
I would like the Chair of the Committee and his colleagues to lend me their ears. Once again, I wish to be on record that this is another day when this House is going to continue killing a constitutional office. What they are planning to do by saying that the NLC shall implement---
view
5 May 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I would have used another synonym but I will reserve my comments and say “the Committee”. The Committee shall be on record for killing constitutional offices. They are trying to do this by deleting Subsection 1 and substituting it with a new subsection. The Committee is killing the NLC. The Committee is also saying that the national Government shall administer settlement programmes in consultation with the NLC. The original Act says that the Commission shall assist the national Government and the county governments in the administration of settlement programmes.
view