Abdulswamad Sheriff Nassir

Parties & Coalitions

Post

PO BOX 16735, Mombasa, Kenya

Email

asnassir@radiorahma.co.ke

Link

Facebook

Telephone

0722333109

Telephone

0737333109

Link

@Asnassir on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 731 to 740 of 1018.

  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Hon. Speaker, I rise under Standing Order No.95 to request that the Mover be now called upon to reply. view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Let me try and justify my reasoning. view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Hon. Speaker, this is a constitutional Bill and every person who has been standing up to contribute has supported it. Hon. Members have been repeating the same points The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: over and over again. We have more serious issues that need to be discussed in this House. Hon. Members will have time to move amendments when this Bill comes up during the Committee of the whole House. I beg that my colleagues accept my proposal so that we can move on to more interesting things. view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Hon. Speaker, is the Leader of the Majority Party in order? He is quoting page 69 and he says for those who have read and I have read. There is nothing on page 69 about what he is talking about. So, he is either misleading the House or he has managed to see 69 as 96 or 96 as 69. So, unless he tells us he has specifically quoted segments talking about secret documents--- He has talked about segments in this book. It is not an envelope. It is a document in excess of 500 pages and unless he tells ... view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Leo nimeamua kuongea lugha ya Kiswahili ili pengine – nasisitiza neno “pengine” - wale wanaohusika wafahamu maneno yangu na hisia za Wakenya kwa jumla. Tarehe 12 Oktoba 2015, katika Chuo Kikuu cha Maseno, wanafunzi walikuwa katika hali ya kufanya siasa zao na kupiga kura. Wanafunzi hao waliingiliwa na wakafukuzwa katika chuo chao. Walitandikwa na hatimaye maisha ya Wakenya watatu yakapotea. Mali ilipotea na wengi zaidi wakapata majeraha. Nataka kuuliza swali ambalo nimeuliza siku nyingine na wengi wameuliza. Swali hili linaenda kwa maafisa wa polisi. Ni maswali matatu. view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nina maswali matatu. Kwanza, mpaka lini tutaendelea kudhulumiwa na wenye bunduki za kisheria? Pili, mpaka lini wakuu wa polisi watakuwa na nyoyo kutokuwa na hisia za Wakenya? Tatu, mpaka lini tutazuia hisia na hamasa za wale wenye kudhulumiwa mashinani? view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Nataka kutoa mfano mmoja uliotokea katika maeneo ya Mvita. Ni jambo la kusikitisha lakini majambazi - na jambazi hana jina jingine ila “jambazi,” wala muovu hana jina jingine bali “muovu” - walifika na wakampiga risasi askari aliyekuwa analinda benki fulani. Baada ya kumpiga risasi, wakampokonya silaha aina ya G3. Suala ni lile lililotekelezwa na polisi baadaye; likawa ni la kusikitisha zaidi. Nataka kusisitiza kuwa hatuyaungi mkono na tunayakashifu masuala ya bunduki kuwa mikononi mwa majambazi. Lakini, la kusikitisha likawa ni watu takriban 180 kuingiliwa katika mitaa na kushikwa. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. ... view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Naibu Spika wa Muda, katika watu hao 180, mmoja ni bubu; hawezi kuzungumza wala kusikia na mwingine ana akili punguani. Sasa fikiria askari awezaye kwenda kumtoa mtu mwenye akili punguani nyumbani, kumshika na kumuweka ndani. Vijana wa miaka 14 na 16 wanaofaa kuingia katika shule walikuwa katika mahakama siku ya pili. Sheria ambayo imewashitaki ni kuwa walipatikana wanarandaranda barabarani. view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Mtu ambaye naweza kumuita babu yangu kwa umri wake, mimi kama Mbunge wa Mvita, amefurishwa uso kwa kutandikwa. Mengi yalifanyika. Watu wengine takriban 180 zaidi walitolewa; si kwa sababu ya jambo lingine bali kushindwa kutoa hongo. Wangapi wamepotezwa? Hivi juzi pekee katika maeneo ya Majengo, mwingine amepotezwa na hatujui hatima yake ni ipi. Nasema hivi, tulifika hapa na kuchukua kiapo kuwa tungewawakilisha waliotupigia kura. Leo, tunatoa uhakikisho wa kitu kimoja: Kwa mujibu wa njia za sheria, tutahakikisha tutaweka sheria ili walio na nafsi za dhuluma na wenye kuchukua sheria katika mikono yao, itafika siku kila aliyeteswa tutakaa chini na kuangalia ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus