All parliamentary appearances
Entries 291 to 300 of 554.
-
3 Aug 2006 in National Assembly:
Bw. Spika, mimi si "mwambao" bali ni mtu kutoka mwambao wa pwani. Bw. Spika, Swali hili halikuletwa Bungeni kwa sababu mimi, nikiwa Waziri Msaidizi, 2596 PARLIAMENTARY DEBATES August 3, 2006 ninatoka katika Mkoa wa Pwani. Swali hili limeletwa Bungeni kwa sababu linahusu Jamhuri yote ya Kenya. Ninaamini kwamba tumelijibu Swali hili tukizingatia kwamba, shule za mabweni ziko kila mahali nchini, na kwamba mapendekezo yaliyotolewa na Tume iliyobuniwa kuchunguza janga la moto katika shule hiyo yatawasaidia wasimamizi wa shule, na wahusika wengine, kuhakisha kwamba mkasa kama huo hautokei tena katika Jamhuri yetu.
view
-
3 Aug 2006 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, the terms of reference of the Commission are contained in the Report that was presented to the President in 1998. I wish to table the document for the benefit of hon. Members.
view
-
3 Aug 2006 in National Assembly:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nizungumzie Hoja iliyo mbele yetu. Nataka kuunga mkono Hoja hii ambayo inanuia kutupatia nafasi ya kwenda nyumbani ili tuweze kushirikiana na wananchi katika mipango mingine mingi ya maendeleo. Ningetaka kuchukua fursa hii kuishukuru Serikali kwa miradi mingi ya maendeleo ambayo imeanzishwa kila mahali katika taifa letu. Hii ni miradi ya elimu, barabara, afya, kilimo na kadhalika. Tunajionea miradi hii tunapoenda katika mawakilisho yetu. Hata hivyo kuna mambo fulani ambayo tunahitaji kuzingatia ili maisha yetu yazidi kuboreka. Mojawapo ya mambo hayo ni usalama wa wananchi na mali yao katika taifa letu. Jambo ...
view
-
2 Aug 2006 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to reply. (a) Yes, I am aware that Mr. Ahmed M. Suroor made a complaint to the Provincial CID Headquarters in Mombasa, alleging that he had been kidnapped in Mombasa and eventually abandoned in Nairobi. An Inquiry File No.19/2003 and not No.5/2003 was opened. Investigations were carried out and upon completion, the file was forwarded to the State Counsel Office in Mombasa vide letter Ref.CID/POL4/4/7/Vol.23/150 of 12th October, 2004. 2552 (b) I am not aware of any link between the FBI and the alleged kidnapping and torture. (c) Upon completion of the file the State ...
view
-
2 Aug 2006 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I have addressed myself to the issues that were raised by the Question. There was an allegation of an arrest of the victim by the officers. I have said that there is nothing like that. Investigations were carried out and the file was forwarded to the Attorney- General. The verdict was that there was no evidence to prove kidnapping or torture. Therefore, the file was closed. I have no objection to the request by the hon. Member that I should visit Mr. Ahmed. But, as far as the matter stands, that is the way it is.
view
-
2 Aug 2006 in National Assembly:
Bw. Spika, wakati wowote kunapoonekana kuna umuhimu wa wenzetu kufanya uchunguzi katika taifa hili, wanashirikiana pamoja na askari wetu. Hakuna wakati ambapo wanafanya vitendo hivyo wakiwa peke yao. Ikiwa kuna wakati wowote Mkenya yeyote amepata mateso katika mikono ya wageni hao, haswa wakati ambapo askari wetu hawapo, tukipewa habari---
view
-
2 Aug 2006 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I have not misguided this House. I have said that whenever there is a need for them to work in Kenya, they collaborate with our police.
view
-
2 Aug 2006 in National Assembly:
I can use any! If an hon. Member asks a question in Kiswahili, I reply in Kiswahili!
view
-
2 Aug 2006 in National Assembly:
English!
view
-
2 Aug 2006 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I have addressed myself to the supplementary questions that have been raised by Mr. Balala and Mr. Mwandawiro.
view