Andrew Mwadime

Parties & Coalitions

Email

achawia@yahoo.com

Telephone

0722867598

All parliamentary appearances

Entries 441 to 443 of 443.

  • 22 May 2013 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kweli naunga mkono kuongezwa kwa walinda wanyama pori, lakini tuangalie wale ambao wanaishi karibu na maeneo ya mbuga za wanyama pori. Bila hivyo, hawataona umuhimu wa kuwachunga wanyama pori; naunga hii Hoja mkono lakini nataka iwe na marekebisho. Nataka tuongeze askari wa kuhifadhi wanyama pori, tuhusishe watu ambao wamepakana nai mbuga zetu katika uchungaji wa wanyama pori. view
  • 22 May 2013 in National Assembly: Jana usiku katika maeneo ya Mwakitau, Sorongo na Mwachapo mimea ya watu iliharibiwa sana na wanyama pori. Hatuwezi kusema watu wa Kenya Wildlife Service (KWS) hawana vifaa. Mwezi jana nilikuwa Voi Safari Lodge na nikawa nauliza: Kwa nini Voi Safari Lodge inalindwa na polisi? Niliambiwa wakati walikuwa wanalindwa na watu wa KWS walikuwa wakiibiwa mara kwa mara, na hii ilimaanisha kuna tatizo fulani katika KWS. Mwenye kuleta hii Hoja, Bw. Ganya, nampongeza, lakini yafaa tuijadili kwa upana zaidi. Inahitaji marekebisho mengi sana maanake kuna tatizo kubwa sana. view
  • 24 Apr 2013 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker for giving me this opportunity. I am from Mwatate Constituency, Taita Taveta County. My name is Andrew Mwadime. I thank God for giving me this opportunity. I also thank the people of Mwatate Constituency for giving me this chance to serve them. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus