Bady Twalib Bady

Parties & Coalitions

Born

1st May 1974

Email

badibadi94@yahoo.com

Telephone

0722346475

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 177.

  • 21 Oct 2021 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Namshukuru Mwenyekiti, Mhe. Kareke Mbiuki. Vile vile, namshukuru Naibu wake, Mhe. Sophia Abdi. Kama alivyosema Mwenyekiti, Mhe. Kareke Mbiuki, nimeridhika kama Mbunge wa Jomvu. Mradi wa Danaff uliokuwa ufanyike ulimalizika mwezi wa Agosti. Vile vile, tuko na cubicmetre 4,000 ambazo tutawapatia wananchi wetu. Kitu ambacho ningetaka kuzungumzia ni kuwa haya majibu si ya leo pekee. Mhe. Mwenyekiti alifanya kikao na officials wa Wizara, Mkurugenzi wa Coast Water na mimi. Kama alivyosema, aliwaamrisha wawasiliane nami. Naripoti kuwa wiki ijayo, nitakuwa na mkutano na Mkurugenzi wa Coast Water na Mkurugenzi wa Mombasa Water, Bwana Carmel Bokoko, ... view

  • 21 Oct 2021 in National Assembly: mbele mpaka Mombasa Mjini na watu wangu wakose maji. Lakini tangu Mwenyekiti na Naibu wake, Mhe. Sophia Abdi, walipofanya mkutano ule, tumeona mabadiliko kidogo yakifanyika hapo Jomvu. Kuhusiana na mambo ya wale wakora ama cartels, naripoti kuwa tulikaa na watu wa Wizara, tukaangalia na kusema kuwa jambo hili ni la watu wa usalama. Kwa hivyo, tumehusisha view
  • 21 Oct 2021 in National Assembly: wake, Mhe. Sophia Abdi, walipofanya mkutano ule, tumeona mabadiliko kidogo yakifanyika hapo Jomvu. Kuhusiana na mambo ya wale wakora ama cartels, naripoti kuwa tulikaa na watu wa Wizara, tukaangalia na kusema kuwa jambo hili ni la watu wa usalama. Kwa hivyo, tumehusisha view
  • 21 Oct 2021 in National Assembly: ambayo itaanza crackdowns . Pia, tumewahusisha Deputy CountyCommissioner (DCC) na Officer Commanding Police Division (OCPD) ili waweze kuchukua hatua dhidi ya hao cartels ambao wawahujumu watu kwa kuwafanya wakose maji. Zaidi ya yote, narudisha shukrani zangu nyingi sana kwa Mhe. Kareke Mbiuki, ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira. Vile vile, natoa shukrani nyingi sana kwa Mhe. Sophia Abdi kwa sababu nilipokuwa katika mkutano na Wizara, yeye ndiye alisimamia mkutano huo. Aliwapa view
  • 21 Oct 2021 in National Assembly: ambayo itaanza crackdowns . Pia, tumewahusisha Deputy CountyCommissioner (DCC) na Officer Commanding Police Division (OCPD) ili waweze kuchukua hatua dhidi ya hao cartels ambao wanawahujumu watu kwa kuwafanya wakose maji. Zaidi ya yote, narudisha shukrani zangu nyingi sana kwa Mhe. Kareke Mbiuki, ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira. Vile vile, natoa shukrani nyingi sana kwa Mhe. Sophia Abdi kwa sababu nilipokuwa katika mkutano na Wizara, yeye ndiye alisimamia mkutano huo. Aliwapa view
  • 21 Oct 2021 in National Assembly: kulingana na vile Mwenyekiti wake alikuwa amesema. Kwa hivyo, nitazungumza na watu wangu wa Jomvu wawe na subira kidogo. Baada ya kumalizika kwa mabwawa hayo, tutapata maji na shida ya maji itakuwa ni jambo la kuzikwa katika kaburi la sahau. Ahsante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. view

  • 21 Oct 2021 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza nataka kumpongeza Mhe. Abdullswamwad Sheriff Nassir. Amesema maneno mazuri. Ndio maana kule Mombasa sijaonekana kuwa nina wazimu niliposema kuwa yeye atakuwa gavana wetu mwaka 2022. view
  • 21 Oct 2021 in National Assembly: Nasema kulingana na Kipengee 41(5) cha Katiba ambacho kinasema juu ya mambo ya jumuiya mataradhio, yaani collective bargaining, kuwa watu wana haki ya kuona ni vipi wanaweza kukaa na kukubaliana. Kwa hivyo, kwa dakika mbili ulizonipa, nataka kusema kuwa ni muhimu Kamati Tekelezi au Implementation Committee ifanye haraka iwezekanavyo kuchukua mapendekezo ya hii Kamati na kuona kuwa watu wa KPA wamelipwa. Vilevile, tunasema kuwa, kibinadamu na wakati huu mgumu wa Korona, watu wote waliofutwa waregeshwe kazini ili wajikimu na kujimudu katika maisha yao kama kawaida. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus