Bady Twalib Bady

Parties & Coalitions

Born

1st May 1974

Email

badibadi94@yahoo.com

Telephone

0722346475

All parliamentary appearances

Entries 161 to 170 of 177.

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: mabalozi wa Nyumba Kumi na pia wahudumu wa afya ambao tunawaita CommunityHealth Workers, kwa ile kazi nzuri ambayo wanafanya na hawapati malipo fulani. Kuhusu mambo ya ufisadi, nampongeza Rais kwa ile hatua ambayo amechukua kijasiri. Lakini kitu ambacho ningependa kusema ni kwamba kabla wale ambao wametajwa hawajaweza kutajwa, ilikuwa ni lazima uchunguzi kamili ufanyike. Kwa shauri tukiangalia katika hii Hotuba ya Rais na Ripoti ambayo tumepata kutoka kwa Tume ya Ufisadi--- Nikizungumzia tu kuhusu Kaunti yangu ya Mombasa, Gavana wa Kaunti yangu Ali Hassan Joho, naona ametajwa na tuhuma kuhusu soko. Soko hilo halikutajwa kuwa yeye amelinyakua, lakini limetajwa kuwa ... view
  • 17 Feb 2015 in National Assembly: Ahsante sana mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili kuchangia Mswada huu. Kwanza ninataka kuunga mkono Mswada huu kwa ajili naamini The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 17 Feb 2015 in National Assembly: kuwa ni muhimu kuwa na mkaguzi wa hesabu, kwani itawezesha Serikali kutumia fedha kwa njia ya sawa sawa, na njia ambayo itakuwa ya kujulikana. Inatakikana pia kuona kuwa mkaguzi wa hesabu hataegemea upande wowote katika kufanya kazi yake. Inatakikana kazi yake kubwa kuona kuwa anakagua hesabu za fedha, ama rasilimali za pesa za wananchi na kuona kuwa hesabu hizo ni sawa sawa. Katika kipengele cha 25 cha Mswada huu, ningependa kuunga mkono kwani nimeona kimependekeza kuundwa kwa bodi ya ushauri, ambayo itakuwa ikimshauri mkaguzi wa hesabu katika kufanya maamuzi. Vilevile, naona kuwa katika Mswada huu, kazi ya bodi hii imeweza ... view
  • 17 Feb 2015 in National Assembly: Mwisho kabisa nataka kuunga mkono Mswada huu kwa sababu umekuja kwa wakati mwafaka. Tumeona mambo mengi kama ya Anglo Leasing, Goldenberg na mengine ambayo yalitokea, lakini kwa vile hakukuwa na kitengo ambacho kilikuwa kimethabitiwa vizuri, tunaona ni mazungumzo yamezungumzwa halafu baadaye rasilimali ya wananchi ikapotea katika mikono ya watu wengine. Kwa hivyo, bodi ikiwako pamoja na ofisi hii nina hakika zitaweza kuchukua hatua ambayo itaweza kulinda rasilimali zetu sisi kama wananchi wa Kenya. Kwa hivyo ninaunga mkono Mswada huu na kusema kuwa ni muhimu tuweze kuupitisha. Ahsante. view
  • 19 Nov 2014 in National Assembly: Asante sana Mheshimiwa Spika. Mimi naungana na viongozi wenzangu siku hii ya leo kwa niaba yangu mwenyewe na familia yangu na kwa niaba ya wananchi wangu wote wa eneo Bunge la Jomvu kutoa rambirambi kwa kifo cha Mheshimiwa Otieno Kajwang’. Leo ni siku ya huzuni sana katika nchi yetu ya Kenya. Nikisema hivyo nachukua yale ambaye niko nayo mimi mwenyewe binafsi juu ya Mheshimiwa Otieno Kajwang’. Miaka mitatu iliyopita nilikuwa kinara wa chama cha ODM katika eneo Bunge la Changamwe. Wakati huo tulifanya kazi pamoja tukishirikiana sote pamoja, na vile vile katika uchaguzi uliopita hivi punde. Yale ambayo yaliweza kutokea ... view
  • 30 Oct 2014 in National Assembly: Asante sana Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili nichangie mjadala huu. Kwanza, ningependa kuunga mkono kwa kusema kuwa maji ni uhai. Sote tunatumia maji kwa haja nyingi za kimaisha, kukiwemo kilimo na kadhalika. Katika Kipengee cha 43 cha Katiba yetu ya Kenya, tunaona kuwa maji ni haki ya kila mwananchi. Katika usimamizi wa sekta hii ya maji, ninaunga mkono kuwepo kwa bodi za usimamizi. Lakini, lazima zihuzishe washika ndau wote, hasa wananchi ambao hutumia bidhaa hii. Ukiangalia katika Kaunti ya Taita Taveta, maji yanapitia kwangu ndio yaende katika Kisiwa cha Mombasa. Lakini cha kushangaza ni kuwa ... view
  • 9 Oct 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Deputy Speaker. Pursuant to Standing Order No.44(2)(c), I wish to request a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Transport, Public Works and Housing regarding the 500-metre Jomvu- Mikanjuni Road, which has not been repaired for the last four and a half years. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 9 Oct 2013 in National Assembly: The contract for this road has been awarded to one Blue Chip Ltd. at a cost of Kshs12 million but no work has been done yet. Seven warnings had earlier been issued to the contractor, seeking contractual compliance on his part but there has been no meaningful effort towards completion of work under the contract. view
  • 9 Oct 2013 in National Assembly: The Kenya Urban Roads Authority (KURA) normally erects sign posts showing the commencement of work and then removes them at the end of the completion date that is indicated without any work being done. I have proof and the status report to show that. view
  • 9 Oct 2013 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, in his Statement, the Chairperson should inquire and report the steps being taken by the Ministry of Transport and Infrastructure to resolve this situation and have the road repaired for the people of Jomvu Constituency. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus