Bady Twalib Bady

Parties & Coalitions

Born

1st May 1974

Email

badibadi94@yahoo.com

Telephone

0722346475

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 177.

  • 21 Oct 2021 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza nataka kumpongeza Mhe. Abdullswamwad Sheriff Nassir. Amesema maneno mazuri. Ndio maana kule Mombasa sijaonekana kuwa nina wazimu niliposema kuwa yeye atakuwa gavana wetu mwaka wa 2022. view
  • 21 Oct 2021 in National Assembly: Kwa hayo, narudia kumpongeza Mhe. Abdullswamwad kwa kazi nzuri ambayo amefanya. Asante na Mwenyezi Mungu atubariki. view
  • 21 Oct 2021 in National Assembly: Nasema kulingana na Kipengele 41(5) cha Katiba ambacho kinasema juu ya mambo ya maafikiano ya pamoja yaani collective bargaining, kuwa watu wana haki ya kuona ni vipi wanaweza kukaa na kukubaliana. Kwa hivyo, kwa dakika mbili ulizonipa, nataka kusema kuwa ni muhimu Kamati Tekelezi au Implementation Committee ifanye haraka iwezekanavyo kuchukua mapendekezo ya hii Kamati na kuona kuwa watu wa KPA wamelipwa. Vilevile, tunasema kuwa, kibinadamu na wakati huu mgumu wa Korona, watu wote waliofutwa waregeshwe kazini ili wajikimu na kujimudu katika maisha yao kama kawaida. view
  • 21 Oct 2021 in National Assembly: Kwa hayo, narudia kumpongeza Mhe. Abdullswamwad kwa kazi nzuri ambayo amefanya. Asante na Mwenyezi Mungu atubariki. view
  • 19 Oct 2021 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii ili nami niweze kuchangia. Wenzangu wamezungumza juu ya Ardhilhali tatu ambazo zimeletwa hapa. Lakini, mimi nitazungumzia Ardhilhali ya Mhe. Mishi, Mbunge wa Likoni, juu ya watu wa Mwananguvuze. Mhe. Spika, haiwezi kuwa kuanzia mtu mmoja mpaka wakafika watu12,000 na mtu huyu hata hajui historia ya ardhi ile na anatakakuinunua. Kwa hivyo, ni muhimu Serikali hii iwezekuona kuwa mambo haya ya watu kuhamishwa kiholela yamekomeshwa. Mimi nampongeza Mhe. Mishi kwa sababu tumekuwa na yeye kutoka Bunge la 11, na wakati huo alienda kwa NLC mara mbili kuwatetea watu wale. Akifanya hayo wakati huo, ... view
  • 19 Oct 2021 in National Assembly: Kwa ufupi, ningependa kamati iwezeka kuenda Likoni haraka iwezekanavyo na kutoa uamuzi kuwa wananchi hao waendelee kukaa hapo kwa sababu ni kwao. Vile vile, seheme ya Aldina kule kwangu Jomvu tuweze kuwapa watu wale hati miliki. Huyu anayeitwa Mahesh, atafute Serikali iliwa discuss na kujua watafanya vipi, lakini aachane na watu wa Mwananguvuze. Asante Mhe. Spika, namuunga mkono Mhe.Mishi. view
  • 29 Sep 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker, I rise to ask Question No.356 of 2021 to the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing, Urban Development and Public Works: (i) What is the status of the construction of the Madafuni-Jitoni-Rabai Road in Jomvu Constituency, Mombasa County? (ii) Could the Cabinet Secretary provide a progress report regarding compensation of the persons who were either affected or displaced to pave way for the construction of the said road? (iii) Could the Ministry consider including inflation as a factor in calculating compensation rate, taking into account the date of displacement to date? The electronic version of the ... view

  • 29 Sep 2021 in National Assembly: (iv) What steps is the Ministry taking to ensure that the contractor keeps construction dust under control during the construction period? view
  • 29 Sep 2021 in National Assembly: (iv)What steps is the Ministry taking to ensure that the contractor keeps construction dust under control during the construction period? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus