Bady Twalib Bady

Parties & Coalitions

Born

1st May 1974

Email

badibadi94@yahoo.com

Telephone

0722346475

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 177.

  • 19 Aug 2021 in National Assembly: Hon. Speaker, pursuant to the provisions of Standing Order No.44(2)(c), I wish to request for a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Environment and Natural Resources regarding the ongoing water provision crisis in Jomvu Constituency. view
  • 19 Aug 2021 in National Assembly: Hon. Speaker, since 2018 the residents of Bangladesh, Jomvu Kuu, Ganahola and Miritini villages in Jomvu Constituency have endured months of extreme water shortage that has aggravated following delays by Danaff Group Contractors who are yet to complete World Bank funded water piping projects in Miritini, Mikindani and Jomvu Kuu. Despite the noble efforts by well-wishers such as Asmok Patel popularly known as Asuu of Mombasa Cement Company who is utilising water bowsers to assist desperate residents, private water suppliers have taken advantage of the water shortage to charge exorbitant rates to supply water in various estates. Hon. Speaker, despite ... view
  • 17 Aug 2021 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii pia mimi niunge Mswada huu mkono. Huu Mswada ni muhimu sana kwa sababu hii ni moja ya pillar zile muhimu za Serikali hii. Ya kwanza, nikiangalia ni pillar ya kuegeza viwanda ambayo ni industrialisation, matibabu poa ni jambo kubwa ambalo tumelizungumzia wakati huu ambao ni affordable health care, makao bora ambayo tunasema kwa kimombo ni affordable housing na lishe bora ambayo ni food security . The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard ... view
  • 17 Aug 2021 in National Assembly: Tukiangalia tarakimu, takribani asilimia 80 ya nchi hii ni sehemu kame. Vile vile, tunategemea asilimia 20 peke yake ili kuweza kukimu mahitaji ya lishe katika nchi hii. Kwa wakati huu mgumu, lishe ni lazima kwa kila mwananchi ndiyo asipate shida ya kukosa chakula. Hali hii haiwezekani katika nchi hii ikiwa sehemu kubwa ni kame. Ndiyo tunaona Serikali inajizatiti kwa wakati huu tukiangalia projects kama Galana Kulalu kule Tana River, ili kuweza kuinua wananchi wake waweze kupata chakula. Kitu kidogo ambacho mimi nitaweza kusema ni kulikuwa na kiongozi marehemu ambaye aliitwa Thomas Sankara. Aliwaambia watu wake kwamba yule ambaye anakupatia chakula ... view
  • 17 Aug 2021 in National Assembly: Leo nachukua fursa hii nikiwa Mjumbe wa Jomvu, kuunga mkono Mswada huu. Hii ni kwa sababu tukiangalia hatuwezi kufanya mengine na makubwa ikiwa matumbo yatakuwa na njaa. Lakini pia vile vile, kando na kuweka mikakati hii ya unyunyuzaji maji, ilikuwezesha mambo ya kilimo, ni muhimu kuwa na haki bora ya kimsingi ambayo kwa kizungu tunasema fundamentalrights, kwamba ni lazima kila mwananchi aweze kupata maji katika sehemu yake. view
  • 17 Aug 2021 in National Assembly: Tukiangalia wakati huu wa korona, unyunyizaji maji kwa mashamba tunaosema, watu wakipata maji wanaweza kufanya ukulima katika sehemu wanazoiishi. Tumeona hivyo katika sehemu za Nairobi na zingine. Lakini nikisema kuwa ni haki ya kimsingi kila mmoja kupata maji, leo nashangaa kwa sababu kuna sehemu tangu tupate Uhuru mpaka leo, bado tunalia kuna shida ya maji. Mfano ambao nitatoa katika jambo hili ni sehemu yangu pale Jomvu. Wiki iliyopita kulikuwa na maadamano makubwa sana katika sehemu inayoitwa Bangladesh. Vile vile, watu hawana raha katika sehemu inayoitwa Ganahola. Mpaka leo tangu tupate Uhuru, wananchi hawa wanapata maji kupitia kwa mfadhili ambaye ni ... view
  • 17 Aug 2021 in National Assembly: Kwa hivyo, nachukua fursa hii kusema tumetolewa mfano hapa na ndugu Mhe. Majority view
  • 17 Aug 2021 in National Assembly: Kimunya. Ni kweli kabisa leo ukienda Dubai, ilikuwa nchi kame. Lakini jangwani kumekuwa na maajabu. Leo kule Dubai kuna soko kubwa sana la matunda ambalo nina hakika pengine unalijua Mhe. Naibu Spika wa Muda. Hii ni kwa sababu ni soko maarufu na lina supply matunda katika kila sehemu. Dubai hivi sasa wanataka kukuza mchele ambao watatumia na vile vile kufanyia biashara. Hivi sasa ukifika huko, unatumia maji na ni jangwani na hii ni mfano wa kuigwa. Lakini jambo nzuri ambalo ningependa kusema ni kwamba si bora kama viongozi katika nchi hii kutoa mifano ya Dubai na kwingineko. Inatakikana kama Kenya ... view
  • 17 Aug 2021 in National Assembly: Katika Mswada huu naangalia kama bodi hii itaweza kudhibiti na kusimamia maswala haya ili asilimia 80 ambayo ni sehemu kame iweza kuipunguza. Na kama nchi itaweza kulishwa na asilimia 20 iweze kupanua sehemu hizi ziweze kuzalisha, basi hatutakuwa na shida. Leo mimi nataka kutoa mfano mzuri sana wa hapa Uganda. Wana shida za mambo mengine lakini si chakula. Wanatoa chakula mpaka hivi sasa hawajui chakula kile watakipeleka wapi. Kwa hivyo tusitoe mifano ya mbali. Mifano ya hapa karibu ndiyo ya kuigwa. Tukitumia mifano hiyo, sisi tunaweza kuupitisha Mswada huu. Mhe. Sankok amesema kuwa leo ameishi katika ndoto. Kwamba alipokuwa katika ... view
  • 17 Aug 2021 in National Assembly: asilimia kubwa ya nchi ambayo ni kame na ikawa inaweza kuzalisha chakula. Mambo haya ni ya kimsingi. Nimepeana tu mfano mmoja. Hii ni mara yangu ya pili kuhudumu katika Bunge hili. Mhe. Naibu Spika wa Muda, mara yangu ya kwanza ilikuwa mwaka wa 2013, tukiwa pamoja na wewe humu Bungeni. Tulifanya tena kampeni mwaka wa 2017 tukawa na haki ya kimsingi katika maeneo yetu. Nakumbuka siku moja nikifanya kampeni nilisema nitajenga shule katika sehemu fulani ambayo haikuwahi kuwa na shule tangu uhuru. Aliinuka kijana mmoja akaniambia: “Beba shule yako uende nayo kwa sababu hatuna chakula hapa.” Kwa hivyo, masuala ya ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus