Bady Twalib Bady

Parties & Coalitions

Born

1st May 1974

Email

badibadi94@yahoo.com

Telephone

0722346475

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 177.

  • 17 Aug 2021 in National Assembly: Mwisho kabisa, nataka kuchukuwa fursa hii kuungana na wenzangu. Sikupata nafasi kuomboleza kwa niaba yangu, familia yangu, na wananchi wote wa Jomvu, kifo cha ndugu yetu Victor. Watu wote wa Nakuru, tunawaambieni pole kwa yale ambayo yalitokea. Naunga mkono Mswada huu na kusema niko na imani Kenya yetu itaenda mbele na wananchi wetu wataondokewa na njaa. Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii. Thank you. view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No. 085/2021 directed to the CS, Ministry of Transport, Infrastructure, Housing, Urban Development and Public Works: (i) Could the Cabinet Secretary explain why the construction of the Kwa Jomvu - Mariakani (Lot 2) Highway Project that commenced in 2018 is behind schedule and provide the revised expected completion date? (ii) What measures has the Ministry put in place to address health and environmental risks posed by the said road to the road users and area residents? (iii) Could the Ministry consider providing other alternative roads and footpaths for residents of Kibarani ... view
  • 6 May 2021 in National Assembly: On behalf of the people of Jomvu, I vote yes. view
  • 25 Feb 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to ask Question No.039 of 2021 to the CS for National Treasury and Planning on behalf of my great people of Owino-Uhuru Village. (i) Could the CS clarify why certain State agencies have not implemented a court ruling made on 16th July 2020, arising from Petition No.1 of 2016 relating to Owino-Uhuru Village in Mikindani Ward, Jomvu Constituency, where the court ruled that five State agencies and two private entities were liable for the health and environmental harm afflicted to the residents of Owino-Uhuru Community? (ii) What action is the CS taking to ... view
  • 25 Feb 2021 in National Assembly: Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika... view
  • 25 Feb 2021 in National Assembly: Much obliged, Hon. Deputy Speaker. view
  • 25 Feb 2021 in National Assembly: Ahsante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili na mimi niunge mkono Mswada huu ambao Mheshimiwa King’ara ameuleta. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 25 Feb 2021 in National Assembly: Kwanza, nampongeza kwa kuja na Mswada huu mzuri ambao tumeona una faida tele. Vile vile, nampongeza Mkuu wa Chama Kikuu Mheshimiwa Amos Kimunya ambaye alikuwa ni Waziri wa Ardhi wa zamani kwa kutufafanulia vizuri sana juu ya maswala haya . Kwa hivyo, nikiangalia mzungumzaji mwenzangu Mheshimiwa Denittah Ghati, ameeleza na akasema walienda hata huko Mombasa. Nataka kusema kuwa swala la ardhi likiongolewa wakati wowote, sisi tuliyoko katika maeneo ya Pwani ndio watu ambao tumeathirika zaidi. Tukiangalia, tunaona katika Mswada huu mahali ambapo panawekwa kuwa ni ardhi ya umma, hasa katika ugawanyaji wa ardhi. Tunajua kuwa watu kupata vyeti vya mashamba ... view
  • 25 Feb 2021 in National Assembly: Mswada huu kwa upande wa sheria, itakuwa hamna haja ya kupata shida sana kuweka pesa zile kwa sababu kila ardhi itakuwa inajulikana kipimo chake kinatoka mahali gani mpaka wapi. Kwa hivyo, jambo muhimu ambalo mimi nauliza ni hili: Kando na Mswada huu, Wizara ya Ardhi iende na nguvu sana na ihakikishe shule zetu zote na hospitali zimepewa hati miliki za ardhi. Vile vile, nachukua fursa hii kusema kuwa mimi katika Eneo Bunge la Jomvu, tumejaribu sana tangu wakati wa Mhe. Muhammed Swazuri, tumempeleka katika sehemu 32 ambazo zilifaa zipewe hati miliki za ardhi. Lakini mpaka saa hizi, ni sehemu nne ... view
  • 25 Feb 2021 in National Assembly: Kwa hivyo, Mswada huu wa Mhe. King’ara utaweza kutupunguzia matatizo makubwa sana. Hili swala la ardhi halitakuwa donda sugu kwa sababu limepata suluhisho la kudumu la kisheria, na sio ile ya kubambanya bambanya. Kwa hayo machache, nimeeleza nataka kumpongeza Mhe. King’ara wa Ruiru kwa kuja na Mswada huu. Tunaunga mkono. Mimi mwenyewe binafsi kama Mbunge wa Jomvu, naunga mkono. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus