Bady Twalib Bady

Parties & Coalitions

Born

1st May 1974

Email

badibadi94@yahoo.com

Telephone

0722346475

All parliamentary appearances

Entries 51 to 60 of 177.

  • 25 Feb 2021 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. view
  • 9 Oct 2019 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii. Ijapokuwa umenipunguzia muda kwa dakika tano, nitazitumia vilivyo. Kwanza, ninaunga mkono Mswada huu kwa kusema kuwa mambo ya ufisadi sio mambo mazuri kufanyika katika nchi yoyote. Ni vizuri sana kuona kile kitengo cha kupambana na ufisadi kuwa kimeweza kufanya kazi yake bila kuogopa na vilevile kutumia fursa kuona kuwa watoto wa shule wanaweza kufundishwa kuhusu mambo ya ufisadi ili waweze kujua kuwa hii si tabia nzuri katika nchi inayoendelea. Nikitoka kwenye mambo ya ufisadi, ninaingia katika hii mada ya economic crimes, yaani uhalifu wa kiuchumi. Mswada uko sawa kabisa kwa sababu ... view
  • 9 Oct 2019 in National Assembly: ya kubeba makasha, wafanyibiashara wetu hivi sasa hawawezi kufanya biashara kwa njia huru. Kwa maana hiyo, inakuwa hujuma ya kiuchumi. Nikiwa Mbunge wa Jomvu, ninasema hatutakubali jambo hili. Lazima Serikali iweke huru ufanyaji wa biashara. Watu watumie njia yoyote ile wanataka kutumia. Ikiwa mtu anataka kutumia malori, atumie malori. Ikiwa mtu anataka kutumia SGR, atumie, lakini kulazimishana isifanyike katika nchi hii. Serikali imesema kuwa imesimamisha mambo haya lakini tunaona mambo haya bado yanaendelea. Juzi kuna watu waliofanya maandamo na wameshikwa. Nikiwa Mbunge wa Jomvu ambapo wafanyibiashara wa malori wengi wapo, ninasema leo sisi watu wa Mombasa tutaichukulia hatua Serikali ya ... view
  • 9 Oct 2019 in National Assembly: Huo ni ufisadi. Ni ufisadi kuambia watu kuwa SGR lazima ibebe makasha peke yake. Bado niko katika mada ya Mswada huu nikizungumza mambo ya ufisadi. Ni ufisadi mkubwa kuambia watu wapakie makasha katika SGR na si malori. Leo, ninasema tunajitayarisha kushtaki Serikali ya Kenya katika Korti ya Afrika Mashariki mpaka tukomboe watu wa Mombasa. Ahsante na Mungu atubariki. view
  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia hii nafasi ili niweze kuunga mkono Mswada huu ambao haswa ni Mswada No. 26 wa mwaka 2019 na unaosomwa kwa Mara ya Pili. Juu ya jambo kama hili pia mimi naunga mkono viongozi wenzangu, akiwemo Mhe. Ruweida Obo ambaye amezungumza sasa hivi juu ya shida za Lamu. Vile vile, naunga mkono kwa sababu Lamu na Mombasa siyo mbali. Naamini ni kweli kuwa pia wao wawekwe katika hazina hii ili waweze kusaidiwa kama watu wengine ambao wanasaidiwa. Leo ni jambo la kutamausha sana kuwa kutoka Kenya ipate Uhuru mpaka leo, ni miaka mingi ... view

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: hivyo, kitaalamu, nimezungumzia jambo hili ili kujitetea kuwa sisi watu wa Mombasa huenda ukulima wetu sio sana wa kushika jembe lakini ukulima wetu pia ni ile bahari na wale viumbe ambao wanapatikana katika bahari. Kwa hivyo, naona ni muhimu zaidi Serikali kuu inapoangazia mambo haya, kaunti yangu ya Mombasa nayo ifaidike. Jambo la pili ambalo nataka kulisema ni kuwa viwango vya maji vikiwa chini huwa ni sababu ya ukame. Ni huo ukame unaosababisha watu kukosa maji ya kunywa. Leo hii nikizungumza hapa, kuna shida kubwa ya ukosefu wa maji ya kunywa Mombasa. Hii ni kwa sababu maji ambayo yanatumika katika ... view

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kuchangia Hoja hii ilioletwa na ndugu yangu, Mhe. Sherrif Nassir. Nataka kuipinga vikali sana ile amri inayosema kuwa makasha yote yanayotoka katika bandari ya Mombasa yabebwe kupitia SGR hadi Embakasi. Kenya ni nchi huru na kila mfanyibiashara ana haki ya kuamua makasha yake yachukuliwe barabarani ama kwenye reli kupitia SGR. Kitu ambacho ninazungumzia ni muhimu sana. Serikali ya Kenya lazima iweze kusawazisha. Kuja kwa mradi wa SGR kusiwe ndio kifo cha makampuni yetu pale Pwani. Mwenzetu moja amezungumza hapa akasema kuwa kuna mkopo kutoka China. Ikiwa Serikali ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus