All parliamentary appearances

Entries 161 to 170 of 299.

  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, ningetaka nikumbushwe yale mambo ambayo yalitajwa katika Kamukunji wakati mmoja na ambayo hayatakiwi kuhusishwa wakati huu ambao tunajadili Hoja hii. Hapa Kamati hii inasemakana ilianza kazi kutoka 2.09.2014. Ikiwa tutaipitisha Hoja hii, itakuwa ni ufisadi wa hali ya juu. Ningetaka kusema bila kutaja mambao yaliyojadiliwa katika view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I used the word “corruption”. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Ninasema tukipitisha. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, nimesema kwamba, tukiipitisha Hoja hii kama vile ilivyo, tutakuwa tukisema Kamati hii ilianza kazi tarehe 2.09.2014. Hii itakuwa ni kama tumefanya ufisadi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, nimesema: “Utakuwa kama ni ufisadi”. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, nilisema kwamba itakuwa ni kama ufisadi. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, na kama nilisema ni ufisadi, basi niliacha neno “kama”. Lakini nilikuwa ninamaanisha kwamba, tukiipitisha vile ilivyo, itakuwa ni kama ufisadi. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir. It will be like we are committing corruption. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, wakati nimesema naipinga Hoja hii pamoja na majina katika orodha hii hapa, pengine liwe ni jambo la ubaguzi, ambalo linaweza kuwa katika hii Seneti kwa sababu mimi si pekee yaka ambaye ametaja mambo ya ufisadi katika Hoja hii. Leo pia kuna Seneta ambaye pia ametaja jambo hilo la ufisadi. Sikusikia wenzangu wakisimama kwa hoja ya nidhamu. Ikiwa mimi ninahisi na naona jambo tofauti, na ninafikiria Hoja hii imewasilishwa hapa ili tuijadili--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus