13 Mar 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker and Hon. Ruweida for giving me this time. This Motion is very important because the most important thing is for us to create understanding and awareness in the community. That is the most basic thing which is lacking especially in matters to do with diabetes and high blood pressure. We need to create a structure starting from schools, work places, community centres and places of worship in regard to awareness of diabetes. This will help us create an understanding why many people are suffering from this disease. Currently, my colleague talked about people living ...
view
27 Feb 2019 in National Assembly:
Hon. Speaker, I rise to ask the CS for Lands the following Question: (i) Could the Cabinet Secretary explain how the adjudication process at Maji Ya Chumvi area of Kinango Constituency was done and how the following parcels of land were adjudicated: L.R. Nos. Kinango/Maji Ya Chumvi/Plot No. 2, 3, 67, 68, 69, 70, 275, 358, 365, 366, 367, 423 and 424? (ii) Could the Cabinet Secretary further explain why the title deed for land reference number Kinango/Maji Ya Chumvi/Plot No.2 has not been returned to the Registrar of Lands as requested?
view
27 Feb 2019 in National Assembly:
Hon. Speaker, I rise to ask the CS for Lands the following Question: (i) Could the Cabinet Secretary explain how the adjudication process at Maji Ya Chumvi area of Kinango Constituency was done and how the following parcels of land were adjudicated: L.R. Nos. Kinango/Maji Ya Chumvi/Plot No. 2, 3, 67, 68, 69, 70, 275, 358, 365, 366, 367, 423 and 424? (ii) Could the Cabinet Secretary further explain why the title deed for land reference number Kinango/Maji Ya Chumvi/Plot No.2 has not been returned to the Registrar of Lands as requested?
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kuchangia Hoja hii inayohusu mambo ya kutolipisha wananchi ada mtu anapofariki. Katika sehemu ambazo tunakotoka, tunajua kwamba watu wengi ni maskini sana katika jamii zetu. Ule umasikini unaongezewa zaidi na gharama ya kulipa matibabu ya magonjwa tofauti tofauti. Tunaona matibabu ambayo wengi wanafuatilia katika hospitali za rufaa ni kama magonjwa ya saratani, sukari na pressure na mengine kama vile kuvunjika miguu kwa ajali za pikipiki. Wengi wanapooaga dunia, tayari huwa wametumia pesa nyingi sana kulipia huduma zile wanazopatiwa katika hospitali zile. Wakiongezewa mzigo wa kuhakikisha kwamba ni ...
view
29 Nov 2018 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I rise to ask the following Question to the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing & Urban Development: a) Could the Cabinet Secretary explain why the Mazeras-Kinango Road has not been rehabilitated for the last one-and-a-half years despite funds being allocated for it? b) Could the Cabinet Secretary further explain why the contractor has not been identified for the construction of Mariakani-Kinango-Kwale Road to bitumen standard despite the project having been tendered under the PPP, Tender No. KeNHA/1575/2017?
view
9 Oct 2018 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ya kuchangia Hoja hii ya suala la mazingira. Kwanza kabisa, nataka kuishukuru Kamati ya Mazingira, ikiongozwa na Mhe. Kareke Mbiuki, ambayo inafanya kazi vizuri sana. Waliingilia masuala ya nyumba ambazo zimejengwa kwenye mito na yule simba wa rangi ya kijani kibichi akaanza kuporomosha nyumba hapa Nairobi.
view
9 Oct 2018 in National Assembly:
Nataka niseme ya kwamba, mazingira ya nchi yetu yanazidi kuzorota kwa sababu lile shirika ambalo limepatiwa nafasi ya kulinda na kuchunga mazingira ya nchi hii, limelala ama wanazembea. Ukiangalia katika Ripoti ambayo imeletwa hapa leo na Kamati hii ya Mazingira, inaonyesha kwamba Shirika la NEMA lingekuwa limefunga hii kampuni kitambo sana na sio kwa sababu ya hii Ripoti. Kampuni ya LDKL ilipatiwa nafasi ya kufunga na kuhakikisha kwamba imerekebisha ile shida ambayo iko na hawakufanya hivyo. Hii inamaanisha ya kwamba shirika la NEMA limezembea. Tunaona ya kwamba kuna hizi nyumba ambazo zilikuwa zimepatiwa leseni na NEMA zijengwe kwenye mito. Shirika ...
view
9 Oct 2018 in National Assembly:
Katika eneo Bunge langu, kuna kampuni ambazo zinachimba mawe. Zinaharibu hadi shule ambazo ziko karibu lakini shirika la NEMA halifanyi lolote. Kwa hivyo, nataka niunge mkono niseme ya kwamba ni lazima Bunge lihakikisha Shirika la NEMA limewekwa katika orodha ya yale mashirika ambayo yanazembea na ni lazima wachapwe kiboko.
view
9 Oct 2018 in National Assembly:
Pia, ningependa kusema ya kwamba ile kampuni ya LDKL imeonyesha ya kwamba iko na madharau. Waliambiwa wafunge ili warekebishe lakini hawajafanya chochote mpaka sasa. Hii inamaanisha ya kwamba hawajali afya ama mazingira ya nchi hii ya Kenya. Wao wanafikiria mambo ya senti na matumbo yao pekee yake. Kwa hivyo, ni lazima sisi, kama Bunge, tusimame kidete tuhakikishe ya kwamba kampuni ambazo hazisaidii chochote katika mazingira ya nchi hii zinawekwa katika orodha ya zile kampuni ambazo zinatakikana kufungwa. Nataka nichangie kuhusu afya ya akina mama wetu. Wakati walipokuja katika ile Kamati, nilihudhuria. Walilalamika wakasema ya kwamba wanashindwa kula hata chakula cha ...
view
9 Oct 2018 in National Assembly:
Kwa hivyo, nataka niunge mkono Kamati hii katika wazo hili ambalo wameleta na mapendekezo yote ambayo wameweka katika Ripoti hii. Hili Bunge linafaa kuunga mkono Ripoti hii na yale mabadiliko ambayo yatahakikisha ya kwamba Shirika la NEMA limewekwa katika ile orodha ya wale ambao wanafanya makosa na kuona kwamba mambo kama haya yanazidi kuendelea. Mambo haya yabadilishwe ili tuhakikishe ya kwamba tunaweka nafasi nzuri katika Serikali yetu na jamii yetu ya Kenya.
view