Benjamin Dalu Stephen Tayari

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 51 to 59 of 59.

  • 9 Oct 2018 in National Assembly: Kwa hayo machache, naunga mkono Ripoti hii. Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia muda huu wa kuchangia. view
  • 22 Aug 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to reply to the proposed amendment to the Motion which was brought to the House by Hon. Owen Baya. We discussed this Motion last week. As we were discussing, every Member who was rising was talking about the coast region instead of Kilifi County. Therefore, we agreed, as Members, from the coast region to bring an amendment and delete the words, “Kilifi County” and substitute with the words, “coast region”. By bringing this amendment, it will help not only farmers from Kilifi County, but all the farmers from the coast region. That is ... view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to reply to the proposed amendment to the Motion which was brought to the House by Hon. Owen Baya. We discussed this Motion last week. As we were discussing, every Member who was rising was talking about the coast region instead of Kilifi County. Therefore, we agreed, as Members, from the coast region to bring an amendment and delete the words, “Kilifi County” and substitute with the words, “coast region”. By bringing this amendment, it will help not only farmers from Kilifi County, but all the farmers from the coast region. That is ... view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me this time. I thank Hon. Baya for bringing this Motion to this House. I rise to bring amendments to the Motion and I will be very brief because of the time. I beg that move that the Motion be amended by inserting the words “the Coast Region” after the words “coconut farmers” in the fifth line, and; by deleting the words “Kilifi County” in the fourteenth line and substituting thereof the words “counties in the Coast Region”. With those amendments, I ask Hon. Mwashako to second me. Thank you, Hon. Temporary ... view
  • 25 Jul 2018 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie Hoja hii kuhusu suala la kurejesha mtambo wa korosho katika eneo la Pwani. Kwanza kabisa ninamshukuru Mhe. Baya kwa kutuwakilisha vizuri kwa kuleta Hoja hii ambayo inatuhusu sana sisi wakaaji wa Pwani. Kusema kweli, korosho ni mmea ambao umesaidia sana watu wa Pwani. Mimi nikiwa mmoja wao, ninaelewa kwamba kule ukanda wa kutoka Kwale kwenda mpaka Kilifi tumelelewa na zao la korosho. Tukiwa wadogo, tulikuwa tunachukua korosho, tunaipeleka kupima, inapelekwa mtamboni na inatusaidia kulipa karo na mambo mengine. Lakini hivi sasa bei ya korosho imeshuka mpaka Kshs20 kwa ... view
  • 25 Jul 2018 in National Assembly: Katika eneo la Pwani, mmea wa korosho unafanya vizuri sana. Pia, ningependa kusema kwamba si mbegu peke yake. Katika mikanda mingine, ikifika wakati wa kilimo kama ni mahindi ama kahawa, wanapatiwa mbolea. Pia, katika huu ukuzaji wa korosho ni lazima watu wa Pwani wapewe vifaa ambavyo vitasaidia katika ukuzaji wa korosho. view
  • 25 Jul 2018 in National Assembly: Ningependa kuunga mkono Hoja hii. Katika usambazaji, tusiangalie Kilifi peke yake. Wale wakulima wa kwale pia wanakuza korosho nyingi sana. Baada ya Kilifi, Kwale ni wakuzaji wakubwa wa korosho Kenya nzima. Lazima tuhakikishe kwamba tumejenga kiwanda upande wa Kwale. Tukisema kwamba ni lazima tusafirishe korosho mpaka Kilifi peke yake, haitakuwa imesaidia mkaazi wa Pwani. Kwa hivyo, mimi ninaunga mkono Hoja hii. view
  • 25 Jul 2018 in National Assembly: Sitachukua muda mrefu kwa sababu ninajua wenzangu wanataka wachangie. Tuhakikishe kwamba viwanda vya korosho vimewekwa maeneo ya Pwani. Ahsante sana. view
  • 18 Apr 2018 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuchangia mjadala huu kuhusu mambo ya uandikishaji wa vitambulisho na stakabadhi za kuzaliwa. Kusema ukweli, mwanzo katika eneo Bunge langu, hii ni shida sugu sana. Wananchi wanapata taabu sana kupata huduma hii ambayo ni muhimu sana katika nchi yetu. Utaona ya kwamba sanasana vile tuko na shida za barabara wananchi wanatoka kilomita nyingi ili kufika kwenye vituo ambavyo viko Kinango peke yake. Mwananchi anatumia siku nzima ili kupata huduma kama hii. Kwa hivyo, mimi naunga mkono mjadala huu kwamba ni lazima Serikali ijaribu kuangalia ya kwamba hii huduma inasambazwa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus