All parliamentary appearances
Entries 31 to 40 of 806.
-
21 Nov 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to reply. (a) My Ministry together with International Fund for Agricultural Development (IFAD) allocated and spent Kshs19,276,530 in the implementation of Simbara- Kamatongu Water Project since 2002. (b) The specific activities the money was intended for included construction of intake, procurement of pipes and fittings, both GI and UPVC, construction of storage pressure tanks, construction of anchor blocks, pillars, valve chambers, thrust blocks and also repair of pipelines. (c) Certainly, it could have been better but due to poor community participation in the project not all the activities were carried out as efficiently and effectively ...
view
-
21 Nov 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, the only Exchequer funds that are channeled through Members of Parliament office is the Constituency Development Fund (CDF). Since we do not have a policy to channel funds through Members of Parliament offices, we will continue using the channels that we have been using until things are changed by this House.
view
-
21 Nov 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, the works will resume immediately, and we will make sure that they are completed soon. I know Kieni is a water scarce constituency, and I would ensure that the work is done expeditiously.
view
-
11 Oct 2012 in National Assembly:
Bi Naibu Spika wa Muda, naomba kujibu. (a) Ni kweli maji ya bwawa la Bangale yameharibika. (b) Ninafahamu kwamba madhara yanaweza kupatikana kutokana na matumizi ya maji haya. (c) Wizara yangu ikishirikiana na washika dau wote inawaadhimisha wakaazi wote wa eneo la Bangale juu ya matumizi ya dawa ya kutibu maji aina ya pur iwezayo kusafisha na kutibu viini katika maji. Tayari wizara imepeleka katoni 60 ambazo zina jumla ya paketi 14,400 ambazo zinaweza kutumika kwa muda wa mwezi mmoja.

Bi Naibu Spika wa Muda, pesa zile ambazo tumetenga ni za kuwasaidia wananchi kwa madawa. Lakini mwaka ujao tuna mradi mkubwa ambao tutatumia kiasi cha Kshs534 million kufanya kilomita karibu 78 ambazo ndizo zitawezesha kuwapatia wananchi maji. Tumejaribu sana kuwasaidia wananchi ambao wanakaa huko lakini mpaka sasa hatujaweza kupata maji masafi hata tukijenga kisima. Kwa hivyo, tutatumia ile pesa tuliyonayo kwa sasa kutengeneza huu mradi mkubwa ambao utaleta maji kutoka mto unaoitwa Muororo. Hapo ndipo tunaweza kuwasaidia wananchi wa upande huo.

Bi Naibu Spika wa Muda, kwa mwaka huu pesa zile ambazo ziko kwa huu mradi ni za kufanya uhandisi. Wahandisi wote wameanza kazi yao ya kufanya uhandisi. Kwa hivyo, wakimaliza hiyo kazi ya uhandisi ndio kazi itaanza.

Bi Naibu Spika wa Muda, ni kweli ya kwamba Wakenya wengi wako na madhara kwa sababu ya kutumia maji ambayo sio masafi. Hii ni kwa sababu pesa ambayo tunapata ili tuwapatie wananchi maji masafi haitoshi. Kwa hivyo, tutaendelea tu kuuliza pesa kutoka kwa Wizara ya Fedha ili watuongezee pesa kwa bajeti ili tuendelee kuwapatia wananchi maji. Mpaka sasa tuna wananchi karibu millioni 16.4 ambao hawatumii maji masafi kwa nchi yetu ya Kenya.
view