All parliamentary appearances
Entries 41 to 50 of 806.
-
11 Oct 2012 in National Assembly:
Bi Naibu Spika wa Muda, ni kweli ya kwamba Wakenya wengi wako na madhara kwa sababu ya kutumia maji ambayo sio masafi. Hii ni kwa sababu pesa ambayo tunapata ili tuwapatie wananchi maji masafi haitoshi. Kwa hivyo, tutaendelea tu kuuliza pesa kutoka kwa Wizara ya Fedha ili watuongezee pesa kwa bajeti ili tuendelee kuwapatia wananchi maji. Mpaka sasa tuna wananchi karibu millioni 16.4 ambao hawatumii maji masafi kwa nchi yetu ya Kenya.
view
-
11 Oct 2012 in National Assembly:
Madam Temporary Deputy Speaker, I have just said that this project will be started during the financial year 2013/14.
view
-
11 Oct 2012 in National Assembly:
Madam Temporary Deputy Speaker, I have just said that this project will be started during the financial year 2013/14.
view
-
11 Oct 2012 in National Assembly:
Bi Naibu Spika wa Muda, ni kweli ya kwamba wakati mwingine tukipata maji kutoka kwa kisima unapata kwamba yako na chumvi au sio masafi sana. Tuko na chemist zetu ambazo zinafanya kazi hiyo na tukikuta maji sio masafi tunasema wananchi wasiyatumie. Lakini wakati mwingine tunakuta wananchi wanatumia maji hayo kwa sababu hawana maji mengine ya kutumia. Lakini sisi---

Madam Temporary Deputy Speaker, this financial year is for designing and ensuring that we put it in the Budget for next year. It is true that this answer talks about Kshs534 million this year, but I realize that we do not have this money in the Budget.

Bi Naibu Spika wa Muda, ni kweli jibu langu linasema tumetenga pesa za mradi huu katika Bajeti ya mwaka huu. Lakini pesa hizi hazipo katika Bajeti yetu ya mwaka huu. Pengine hatujapata pesa hizi kutoka kwa wafadhili wetu. Sitaki kumwaahidi mhe. Mbunge kuwa mradi huu utakamilika mwaka huu kwa sababu hatuna pesa za kutosha. Ningependa kumuomba asubiri hadi tutakapopata pesa ili tuweze kukamilisha mradi huu.

10 Oct 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to reply. (a) Yes, I am aware that audit reports by the Auditor-General has confirmed that the Director of Water in the Ministry owes Nakuru Rural Water and Sanitation Company Ltd. Kshs167,206,140. (b) My Ministry recommends that the debt should be removed from the records of the Auditor-General. That is because my Ministry, at its cost, has supported Nakuru Rural Water and Sanitation Company Ltd to effectively discharge its mandate. The support has included providing water treatment chemicals, paying electricity bills, paying salary to staff seconded to the company, training the staff and supporting investment ...
view