26 Feb 2019 in National Assembly:
The House rose at 7.00 p.m.
view
26 Feb 2019 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Gikaria, Mbunge wa Nakuru Mjini Mashariki.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Gikaria, ingekuwa vyema kama ungekuwa mwenye kutoa mfano mwema kwa huo utoaji wa damu. Ungekuwa unatuelezea hapa kwenye sebule ya Bunge kwamba wewe umeweza kutoa damu mara ngapi ili The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
sisi tuweze kufuata huo mfano wako mwema. Kwa sasa nitampatia nafasi Mhe. Mwambire Ngumbao, Mheshimiwa wa Ganze.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Manje, Mbunge wa Kajiado Kaskazini.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Anthony Oluoch, Mbunge wa Mathare.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mheshimiwa wa Kilifi Kaskazini, imekosekana nidhamu kivipi?
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Baya, nitakuelekeza. Wewe ndiye umekosa nidhamu kwa sababu haujasoma Kanuni za Bunge. Yule wa kuchangia ndiye anachugua lugha ya kutumia. Ukianza kwa Kiswahili, utamalizia kwa Kiswahili na ukianza kwa Kiingereza, utamalizia kwa Kiingereza. Kwa hivyo, Mhe. Oluoch ako sawa katika mchango wake.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Hon. Anthony Oluoch, without interrupting you, what could be the role of the Senate and the county assemblies, if you say that this is the only House that is mandated to make laws?
view