20 Feb 2019 in National Assembly:
Very good contribution, Hon. Oluoch, but you are anticipating debate on a Bill that we have no idea about, but we hope it will come. Also, the fact that you are a human rights champion is a good thing.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mheshimiwa 001, ole Sankok. Tutarudi kuendelea kuchangia katika lugha yetu ya Kitaifa ya Kiswahili.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Leo tuna changamoto ya vipasa sauti. Utatumia kipasa sauti ambacho kiko mbele yangu.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Sankok, umempatia Mhe. Mohamed Ali wa Nyali sifa chungu nzima na hii ni sawa. Changamoto ni kwako kwa sababu umesema hili ni Jumba ambalo linaunda Bajeti. Kwa hivyo, katika Mswada wa kuunda Bajeti tutakutegemea wewe uweze kuleta mchango wako na marekebisho ya kuweka haya mawazo ya mwenzetu, Mhe. Mohamed ili watu wetu waweze kuondolewa huo mzigo. Kwa wakati huu, nitampatia nafasi Mbunge wa Kauti ya Kilifi aweze kupeana mchango wake.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Gitau Wairimu, Mbunge wa Nyandarua.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Wairimu, kidogo tu. Kuna hoja ya nidhamu kutoka kwa Mhe. Sankok.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Kwa hivyo unakosa kuelewa vile Mheshimiwa anataka kujieleza. Mhe. Wairimu nafikiri ako sawa.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Wairimu umejaribu sana na umefanya vyema. Tunakuunga mkono na kukushukuru. Anayefuata ni Mhe. Mwadime, Mbunge wa Mwatate.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mheshimiwa Mwadime, umeongea kwa utamu katika Hoja hii. Nataka kumpa nafasi hii Mheshimwa Nangabo Janet, Mbunge wa Trans Nzoia.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mheshimiwa Baya, Mbunge wa Kilifi Kaskazini. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view