24 Apr 2024 in Senate:
(2) Disclose details regarding the tender opening and evaluation processes for each of the projects, indicating the number of bids received, the winning bids as well as the company’s that won the awards. (3) State the contractual commencement and completion dates for the said projects, explaining any instances of delays or deviations from the original timelines and outline any measures in place to ensure that the projects are completed without further delay indicating the projected timelines for the same. (4) Indicate when the Senate Speaker’s residence was last occupied, clarifying whether consideration has been made to purpose the residence into ...
view
24 Apr 2024 in Senate:
Asante sana, Bw. Naibu Spika. Namshukuru Seneta wa Narok Kaunti, Sen. Olekina, kwa kuleta shida ambazo kaunti ziko nazo kuhusu madeni ambayo hayajalipwa kwa muda mrefu sana. Kwa kawaida, serikali za kaunti na Serikali Kuu bado ni serikali ambazo zimechaguliwa na raia wa nchi hii. Pesa ambazo wanatumia ni zile ambazo zimetolewa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.

kama ushuru na raia wa nchi hii. Pesa za kaunti sio pesa ambazo hazina hesabu, ziko na hesabu yake na zinatakiwa kujulikana zimefanya kazi gani. Bw. Naibu Spika, kuna jambo linalojulikana kama public participation . Kabla mradi haujapitishwa katika bunge la kaunti, lazima wananchi waseme mradi wanaotaka na mahali utafanyika. Baada ya wananchi kuamua mradi wanaotaka ufanywe, wanaanza kupanga mpango wa kuanza mchoro kama ni mjengo au barabara. Halafu, huo mchoro unawekewa bei katika shughuli inayoitwa quantity survey . Baada ya gharama ya ujensi huo kujulikana, inapelekwa katika bunge la kaunti na kushughulikiwa ipasavyo. Baadaye, inapitishwa kama mpango ambao umetoka ...

ambao wanafanya hiyo kazi, wanajaza malipo yao na yanapitishwa na wale watu wanaoshughulika na procurement ya huo mpango. Hakuna kitu kitakachofanyika katika nchi hii ama kaunti ambacho kimepita katika Bunge la Kitaifa au la kaunti bila kujulikana hiyo budget inapangiwa mradi gani. Shida iliyo katika kaunti ni kuwa, baada ya budget kupitishwa na kujulikana ni

gani itafanyika, wakati contractor amefanya kazi na ameandike certificate yake, inaenda kwa ofisi ya CoB. Certificate ikifika huko na pesa ilipwe, hiyo pesa haiendi kwa huyo contractor . Hiyo pesa ikitoka kwa CoB, inabadilishwa na inalipwa contractor mwingine.

ambaye certificate yake ilifika huko, anakaa akingoja pesa yake ilipwe ilhali pesa yake ilishalipwa katika ofisi ya CoB; a ccount number na jina za kampuni ziko huko na pia, jina na sahihi ya mwenye kutayarisha hiyo certificate kwa kaunti ziko huko. Kitu kimoja ambacho kinasababisha contractors na suppliers katika kaunti kuangamia ni kwamba pesa zao zinakuwa diverted . Zinabadilishwa kutoka kwa kampuni yao na zinalipwa kampuni nyingine. Niko na ushahidi kutoka Ofisi ya CoB. Kwamba, kuna kampuni za contractors na
view