Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 151 to 160 of 721.

  • 24 Apr 2024 in Senate: ambaye certificate yake ilifika huko, anakaa akingoja pesa yake ilipwe ilhali pesa yake ilishalipwa katika ofisi ya CoB; a ccount number na jina za kampuni ziko huko na pia, jina na sahihi ya mwenye kutayarisha hiyo certificate kwa kaunti ziko huko. Kitu kimoja ambacho kinasababisha contractors na suppliers katika kaunti kuangamia ni kwamba pesa zao zinakuwa diverted . Zinabadilishwa kutoka kwa kampuni yao na zinalipwa kampuni nyingine. Niko na ushahidi kutoka Ofisi ya CoB. Kwamba, kuna kampuni za contractors na view
  • 24 Apr 2024 in Senate: katika kaunti ya Marsabit, ambayo nasimamia kama Seneta, ambao kulingana na ofisi ya CoB, wamelipwa. Nimepewa hizo documents kutoka kwa hiyo Ofisi na wale contractors wangefaa kulipwa, walisema hawajapata hiyo pesa nilipowauliza. Bw. Naibu Spika, sababu nyingine inayofanya pesa ya contractors na suppliers kucheleweshwa ni Own Source Revenue (OSR); ule ushuru unaonafaa kukusanywa katika kaunti. Wakati bajeti inapangwa, wanaongeza kiwango ambacho wanafaa kuokota kiwe zaidi. Hiyo inafanya suppliers wa kaunti wakose. Bw. Naibu wa Spika, shida ya tatu ni wakati bajeti imepitishwa na ushirika wa umma umefanywa, kuna kitu kinachosumbua sana ambacho kinaitwa supplementarybudget. Kwa mfano, baada ya bajeti kupitishwa ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

  • 24 Apr 2024 in Senate: Kaunti kama ya Marsabit, katika supplementary budget, pesa ya maendeleo imebadilishwa na ikapelekwa kwa chakula na wakati mwingine, inakuwa shilingi milioni mia sita, saba au nane. Sababu ya hio pesa kubadilishwa kutoka kwa development fund na kupelekwa kwa relief supplies ni kwa sababu, kwa relief supplies, hakuna ile tenda ya kawaida inafanywa sababu ni emergency supplies procurement system . Hii ni njia ambayo inafanya ofisi ya gavana kuitisha wakandarasi bila kupitia njia ya tenda ya kawaida. Bw. Naibu wa Spika, tunaambiwa Maseneta ni watu wanatakikana kusaidia ugatuzi katika nchi hii. Ugatuzi ni lazima ufutwe na maendeleo. Ukiangalia Kaunti zingine na ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, mwenzangu ameteleza kidogo. Sijasema iko dini inaonyesha mwingine ni mkora. Lakini, ninasema wale watu tungeheshimu kama Waisilamu, wanatoa sadaka na wanaenda Hajj, wangefaa kuhakikisha kaunti zao zinafanya kazi vilivyo. Ugatuzi unakufa. Nilienda manyatta fulani. Nikaonyeshwa kaburi na nikaambiwa huyu mzee amekufa akidai kaunti. Kuna watu wengi sana wamepotesha maisha yao na siyo kwa sababu ya ugonjwa au shida nyingine. Ni kwa sababu alienda kuomba pesa kwa benki, familia au marafiki zake ili aende kufanya kazi ya kaunti. Bw. Naibu wa Spika, pesa inakaa miaka tano bila kutolewa au kulipwa. Ninakubaliana na Sen. Olekina. Ningeulizwa leo, maendeleo ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: msaada huko. Ile pesa inabaki huko ni ile ya watu wa kuteremsha hiyo mizigo wanalipwa, peke yake. Bw. Naibu wa Spika, kama ni shilingi mia mbili, ile pesa inabaki huko, ni shilingi elfu kumi ya kuteremsha hiyo mizigo peke yake na shilingi 199,990,000 inarudi hapa Nairobi. Hata pesa hakuna kwa miji kwa sababu pesa zote zimerudi Nairobi, vile imetumwa kutoka Nairobi, inarudi Nairobi. Lakini wale watu masikini kidogo wako na milioni moja au mbili; na wamefanya kazi na kaunti, mpaka leo, miaka tano au sita baadaye, hawajapata pesa zao. Ningependa hata Mhe. Rais wetu, akae afikirie raia wake, kwa sababu ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus