24 Apr 2024 in Senate:
ambao wanafanya hiyo kazi, wanajaza malipo yao na yanapitishwa na wale watu wanaoshughulika na procurement ya huo mpango. Hakuna kitu kitakachofanyika katika nchi hii ama kaunti ambacho kimepita katika Bunge la Kitaifa au la kaunti bila kujulikana hiyo budget inapangiwa mradi gani. Shida iliyo katika kaunti ni kuwa, baada ya budget kupitishwa na kujulikana ni
view

gani itafanyika, wakati contractor amefanya kazi na ameandike certificate yake, inaenda kwa ofisi ya CoB. Certificate ikifika huko na pesa ilipwe, hiyo pesa haiendi kwa huyo contractor . Hiyo pesa ikitoka kwa CoB, inabadilishwa na inalipwa contractor mwingine.

ambaye certificate yake ilifika huko, anakaa akingoja pesa yake ilipwe ilhali pesa yake ilishalipwa katika ofisi ya CoB; a ccount number na jina za kampuni ziko huko na pia, jina na sahihi ya mwenye kutayarisha hiyo certificate kwa kaunti ziko huko. Kitu kimoja ambacho kinasababisha contractors na suppliers katika kaunti kuangamia ni kwamba pesa zao zinakuwa diverted . Zinabadilishwa kutoka kwa kampuni yao na zinalipwa kampuni nyingine. Niko na ushahidi kutoka Ofisi ya CoB. Kwamba, kuna kampuni za contractors na

katika kaunti ya Marsabit, ambayo nasimamia kama Seneta, ambao kulingana na ofisi ya CoB, wamelipwa. Nimepewa hizo documents kutoka kwa hiyo Ofisi na wale contractors wangefaa kulipwa, walisema hawajapata hiyo pesa nilipowauliza. Bw. Naibu Spika, sababu nyingine inayofanya pesa ya contractors na suppliers kucheleweshwa ni Own Source Revenue (OSR); ule ushuru unaonafaa kukusanywa katika kaunti. Wakati bajeti inapangwa, wanaongeza kiwango ambacho wanafaa kuokota kiwe zaidi. Hiyo inafanya suppliers wa kaunti wakose. Bw. Naibu wa Spika, shida ya tatu ni wakati bajeti imepitishwa na ushirika wa umma umefanywa, kuna kitu kinachosumbua sana ambacho kinaitwa supplementarybudget. Kwa mfano, baada ya bajeti kupitishwa ...

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.