Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 231 to 240 of 796.

  • 24 Apr 2024 in Senate: Kaunti kama ya Marsabit, katika supplementary budget, pesa ya maendeleo imebadilishwa na ikapelekwa kwa chakula na wakati mwingine, inakuwa shilingi milioni mia sita, saba au nane. Sababu ya hio pesa kubadilishwa kutoka kwa development fund na kupelekwa kwa relief supplies ni kwa sababu, kwa relief supplies, hakuna ile tenda ya kawaida inafanywa sababu ni emergency supplies procurement system . Hii ni njia ambayo inafanya ofisi ya gavana kuitisha wakandarasi bila kupitia njia ya tenda ya kawaida. Bw. Naibu wa Spika, tunaambiwa Maseneta ni watu wanatakikana kusaidia ugatuzi katika nchi hii. Ugatuzi ni lazima ufutwe na maendeleo. Ukiangalia Kaunti zingine na ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, mwenzangu ameteleza kidogo. Sijasema iko dini inaonyesha mwingine ni mkora. Lakini, ninasema wale watu tungeheshimu kama Waisilamu, wanatoa sadaka na wanaenda Hajj, wangefaa kuhakikisha kaunti zao zinafanya kazi vilivyo. Ugatuzi unakufa. Nilienda manyatta fulani. Nikaonyeshwa kaburi na nikaambiwa huyu mzee amekufa akidai kaunti. Kuna watu wengi sana wamepotesha maisha yao na siyo kwa sababu ya ugonjwa au shida nyingine. Ni kwa sababu alienda kuomba pesa kwa benki, familia au marafiki zake ili aende kufanya kazi ya kaunti. Bw. Naibu wa Spika, pesa inakaa miaka tano bila kutolewa au kulipwa. Ninakubaliana na Sen. Olekina. Ningeulizwa leo, maendeleo ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: msaada huko. Ile pesa inabaki huko ni ile ya watu wa kuteremsha hiyo mizigo wanalipwa, peke yake. Bw. Naibu wa Spika, kama ni shilingi mia mbili, ile pesa inabaki huko, ni shilingi elfu kumi ya kuteremsha hiyo mizigo peke yake na shilingi 199,990,000 inarudi hapa Nairobi. Hata pesa hakuna kwa miji kwa sababu pesa zote zimerudi Nairobi, vile imetumwa kutoka Nairobi, inarudi Nairobi. Lakini wale watu masikini kidogo wako na milioni moja au mbili; na wamefanya kazi na kaunti, mpaka leo, miaka tano au sita baadaye, hawajapata pesa zao. Ningependa hata Mhe. Rais wetu, akae afikirie raia wake, kwa sababu ... view

  • 23 Apr 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.56(1)(b) to make a statement on the activities of the Standing Committee on National Cohesion, Equal Opportunity and Regional Integration for the period commencing January to March, 2024. The Standing Committee on National Cohesion, Equal Opportunity and Regional Integration is established under Standing Order No.228(1) of the Senate Standing Orders and is mandated to consider all matters relating to pursuit of national and intercommunity cohesion, equalization of opportunities and improvement in the quality of life and status of all persons, regional integration, the East African Legislative Assembly (EALA) and the Pan-African ... view
  • 23 Apr 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 23 Apr 2024 in Senate: The committee successfully mediated a long-standing dispute between the warring communities, bringing harmony to their previously strained coexistence which had threatened further animosity between communities, led to displacement of people, loss of lives and property. The committee is currently considering an inquiry into the demographic composition of employees of the State agencies in terms of gender, Persons with Disabilities (PWDs), age and ethnicity; the mechanisms put in place to ensure that PWDs, women, and minorities are adequately represented in the organisation; and any audits or assessments undertaken in the last three years to ascertain the level of inclusivity in the ... view
  • 23 Apr 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus