5 Oct 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I have three Statements.
view
5 Oct 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, allow me to repeat. I rise, pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Finance and Budget regarding allegations of tax exemptions extended by the Kenya Revenue Authority (KRA) to the Kenya National Trading Corporation Limited (KNTC). In the Statement, the Committee should- (1) Clarify whether the KRA has extended tax exemptions to KNTC and, if so, explain the criteria applied in extending the exemptions and whether due procedure was followed. (2) State the amount of funds KRA would have otherwise collected in taxes. Mr. Speaker, Sir, I will proceed to ...
view
5 Oct 2023 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, ninaomba Sen. Cherarkey awache kupiga kelele.
view
5 Oct 2023 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, Sen. Cherarkey anacheka hapa lakini, leo kuna familia imekosa watoto, baba, mama na ndugu.
view
5 Oct 2023 in Senate:
Nimetoka Marsabit na najua uchungu ule mzazi, ndugu, dada au mama ako nao wakati mtu wake ameuwawa. Hapo hakuna kitu cha kucheka. Haya ni maneno yanaoumiza watu wengi sana. Wiki mbili zilizopita, nilienda na timu ya maridhiano mahali panaitwa Baragoi. Watu wengi wameuwawa hapo. Wenyeji Baragoi walisimama wakasema wamepoteza watu wengi sana, lakini tangu Mhe. Rais Ruto aingie mamlakani, wamepata nafuu.
view
5 Oct 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
5 Oct 2023 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, walisema kuna watu wanaitwa “ Wajakoya” waliofika huko na kuokoa maisha ya watu wetu. Nikawauliza Wajakoya ni akina nani. Wakaniambia, hao ni askari jeshi ambao Mhe. Rais Ruto alipeleka kule Samburu, mahali panaitwa Baragoi. Watu wameanza kupata maisha mazuri na kulala vizuri. Kwa hivyo, siwezi kubali mtu yeyote akisema kuna shida ni kuwa Mhe. Rais Ruto hajashugulika. Kule nimetoka Marsabit, tulikua na shida kubwa sana. Kule Sondu watu wamefariki. Mambo haya siyo rahisi. Ningependa kusema pole kwa familia hizo. Lakini ukiangalia hapa nchini, mahali kama Marsabit, watu wengi wamefariki sana na ni zaidi ya mia tano. ...
view
5 Oct 2023 in Senate:
Hapana, Bw. Spika wa Muda. Siwezi kubali.
view
5 Oct 2023 in Senate:
Uliza mtu ametoka Turkana na Marsabit mambo ya usalama. Kuna watu wanasema wakora hawajulikani kule wametoka. Hakuna mkora hajazaliwa na hana baba wala mama. Wanajulikana hata zile vijiji wanakotoka. Kwa hivyo, hakuna mtu anaweza kuja kuua watu na isemekane yeye ni mkora. Hakuna kitu kama hiyo. Wale wakora tunajua ni wale wako Nairobi ambao hunyang’anya watu vitu vyao. Kwetu nyumbani, tunajua mkora ametoka wapi, baba na mama yake ni akina nani, hata ukoo na kabila tunazijua. Kwa hivyo, watu wasije mbele ya Bunge la Seneti kusema hawajui hao wakora ni akina nani. Tuambiane ukweli. Bw. Spika wa Muda, kama tunataka ...
view
4 Oct 2023 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker. I take this opportunity to congratulate our Cabinet Secretary for the Ministry of Defence for coming here today and also, I thank him for the service he has given this country, both as a legislator and a Minister. I have three Questions. I will start with the first one. (a) Could the Cabinet Secretary state the number of security personnel who have been injured or have lost their lives while serving in Somalia as part of the African Union Mission to Somalia (AMISOM) and also highlight the Government's policies, regarding compensation, support and welfare packages ...
view