Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 631 to 640 of 717.

  • 9 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 9 Mar 2023 in Senate: wanaongea mambo ya Kipsigis ya zamani. Waafrika wenyewe wametuletea huo ukoloni, ardhi imechukuliwa na hatuna mahali pa kulisha mifugo wetu. Wale watu ambao wanafanya kazi huko ndani, ni Wazungu. Hata seremala anatoka Afrika Kusini kuja kuwa meneja wa kambi nzima--- view
  • 7 Mar 2023 in Senate: Shukrani, Bw. Spika. Nimeshangaa kusikia Sen. Munyi Mundigi akisema kwamba korosho ilikuwa inanunuliwa kwa zaidi ya Ksh100 na leo, inanunuliwa na Ksh30 peke yake. view
  • 7 Mar 2023 in Senate: ya Kenya Kwanza inasema itasaidia ukulima. Saa hizi, kuna shida Kenya. Nimetoka Kaunti iliyo kwa mpaka wa Ethiopia. Ukulima Kenya ulikwisha, ukafa na ukazikwa. Saa hizi wakaazi wa Marsabit na Moyale wanatoa chakula kutoka Ethiopia. Mpaka unaoitwa Moyale... Bw. Spika, bei ya unga wa ngano na mahidi nchini Ethiopia ni nusu ya bei ya unga huku Kenya. Bei ya maharagwe pia ni hivyo. Vitunguu na viazi hutoka Tanzania. Vyakula vingi vinatoka Tanzania na Uganda. view
  • 7 Mar 2023 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Mahali nimetoka, hatuna korosho, makadamia ama vitu kama hivyo. Nitafurahi sana akinifunza. Sen. Kinyua akiniuliza maneno ya nyama, nitamwambia hiyo ni ya ngamia au mbuzi kwa kunusa tu bila kuonja. Sen. Ali Roba ni shahidi wangu hapo. Ninashukuru amenieleza. Bw. Spika, shida tuliyo nayo - ukiangalia upandaji wa korosho na makadamia - ni kwamba ukulima umekuwa na shida sana. Mashamba za kahawa zote zimebadilishwa kuwa biashara za nyumba. Kahawa na majani chai zinaendelea kupotea. Ile shida tuko nayo ni kwamba wakati huu maziwa tunayotumia yanatoka Uganda. Kwanza, maziwa haya yanatoka Uropa na kupelekwa Kampala yakiwa maziwa ... view
  • 7 Mar 2023 in Senate: Thank you Mr. Speaker, Sir. I come from Marsabit County. We have wind power called Lake Turkana Wind Power in Marsabit. I think it is the largest wind power in Africa. In support of this Bill, I would like to say that our children in Turkana, a place called Sarima where the offices of the Lake Turkana Wind Power are being operated from, the children living there have no clothes, no place to sleep, no food, no water, no survival at all. If you look at the investors who invested in this Lake Turkana Wind Power, they are mainly from ... view
  • 7 Mar 2023 in Senate: In support of this Bill, I would like to say this: An investor will come from any place with his equipment but the land belongs to the community. This community are not view
  • 7 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 7 Mar 2023 in Senate: benefiting from their ancestoral land. They have lived on that land for many years but what are they getting? Nothing. So, this Bill will help a young boy, a young girl who lives in Laisamis Constituency to get to better education with those funds and also get a better life. Mr. Speaker, Sir, I will bring a Bill to this House that will give the community, County Government and the national Government shares percentage. We also have a beautiful rainforest in Marsabit County. If you remember, there was an elephant called Ahmed. He died in Marsabit County and was brought ... view
  • 1 Mar 2023 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. I rise pursuant to Standing Order No.53(1), to seek a Statement from the Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations on the border conflict between Kenya and Ethiopia and alleged banditry attacks in Marsabit County by Samburu armed men. In the Statement, the Committee should- (1) Ascertain the interventions the national Government is undertaking to deal with the incursion of Ethiopian Military Forces in Kenya, mainly in Sololo Sub-County in Anona, Abo and Dukale villages in Marsabit County; (2) Inform the Senate on the customs clearance requirements for Kenyan vehicles and motorbikes crossing ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus