Danson Mwashako Mwakuwona

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 197.

  • 6 Apr 2022 in National Assembly: I thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I will be very brief because colleagues have contributed immensely on this Bill. I stand to support the National Electronic Single Window System Bill. We must support anything that improves the ease of doing business in this country. Today, we have so many entrepreneurs in this country who want to get into international trade. We must support them as a country. view
  • 6 Apr 2022 in National Assembly: We have also been championing and seeking investors with foreign direct investment to come and do business in this country, so that we are able to grow our economy in a way that millions of Kenyans who are seeking employment can find jobs. I want to commend this Departmental Committee on Trade, Industry and Co-operatives. They have processed this Bill quickly and now it is in the Second Reading. I urge my colleagues in this House that we should prepare to conclude this Bill soonest possible even before we go back to seek another mandate. I support. Thank you. view
  • 5 Apr 2022 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ya kuunga mkono Mswada huu. Bunge la Taifa liko na majukumu ya kuangazia sheria zilizoko na zile ambazo zinahitaji kufanyiwa marekebisho zinafanyawiwa marekebisho wakati wowote. Mwenzangu Mhe. Sankok amesema kwamba tunapoelekea uchaguzi sio wakati mwafaka wa kubadilisha sheria za uchaguzi. Mawazo hayo sio sawa. Tuko na vikao mpaka mwezi wa sita. Hata kama kutabaki siku moja kusitisha vikao vyetu na uchaguzi utakuwa umebakia miezi miwili, kama kuna jambo litakalokuja katika mawazo ama katika Bunge la Taifa ambalo litawezesha uchaguzi ufanyike katika hali ambayo ni shwari zaidi na itakayokuwa ya wazi ... view
  • 5 Apr 2022 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, sheria hii ambayo tunaunga mkono leo imekuja wakati ambao ni mwafaka. Hakuna haja ifike mwezi wa nane, tarehe tisa, alafu kwanza twende uchaguzi na maswali ama dukuduku ambazo hazikuangaziwa wakati Bunge lilikuwa na nafasi ya kuketi. Sheria hii inaeleza kinaga-ubaga kwamba mpigaji kura mahali popote nchini akitaka kubadilisha eneo lake la kupiga kura, basi anaruhusiwa iwapo ataweka maombi katika Tume Huru ya Uchaguzi na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 5 Apr 2022 in National Assembly: Mipaka. Tukumbuke kwamba tumetoka katika wakati wa kufanya ile wanaita kwa kimombo view
  • 5 Apr 2022 in National Assembly: . Wananchi wengi walitaabika sana kubadilisha sehemu zao za kupiga kura. Ilistahili kwamba mtu aende pale ambapo ameishi kwa muda wa miezi sita kabla ya kuomba kubadilisha kituo cha kupiga kura. Wakenya wengi wamesafiri. Tunakumbuka kwamba tumetoka katika janga la COVID-19. Watu wengi walihama makao yao wakarudi mashambani. Walipoenda kubadilisha kura, waliambiwa hawajakaa huko miezi sita. Chifu wa eneo lile anakataza watu fulani wabadilishe kura. Sheria hii inafanya mambo haya yawe rahisi. view
  • 5 Apr 2022 in National Assembly: Pili, sheria hii inasema kwa urahisi kwamba ukitaka kujitambulisha kama mpiga kura, basi unahitaji kitambulisho ama passport ambayo iko sawa. Hili ni jambo zuri. Kulikuwa na wasiwasi ama taharuki Kenya nzima. Watu wengine walidhani kwamba Huduma Namba zitatumika ndio upige kura. Sheria hii inafanya mambo haya kuwa wazi. Lakini wakipiga kura tunakuwa na changamoto sana na rufaa. Mtu ambaye hajaridhika kama Mjumbe wa Bunge la Kaunti akilalamika kortini, mambo haya yanachukua muda mrefu sana. Ni lazima iende tena mpaka kwa korti ya juu. Lakini leo hii, sheria hii inaeleza kwa urahisi kwamba mtu ambaye anawania kiti cha wodi ama Bunge ... view
  • 5 Apr 2022 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono sheria hii asilimia mia moja. Ijulikane nchi nzima kwamba kila mara tunapogundua kwamba sheria ina matatizo, itatuzuia tusifikie malengo ya nchi, basi, hata kama ni siku gani, Bunge la Kitaifa lina ruhusa ama uwezo wa kikatiba wa kubadilisha sheria hiyo. Naunga mkono Mswada huu. view
  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Asante, Mhe. Spika. Nilitoa heshima zangu kwako. view
  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Yes, I did. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus