All parliamentary appearances
Entries 101 to 110 of 395.
-
21 May 2015 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Ningependa kutoa taarifa kupitia Sheria za Bunge Nambari 45(2)(a). Natoa taarifa hii kwa sababu ninavyozungumza sasa, vijana katika mji wa Voi wanapanga njama za kuzua rabsha na matata barabarani. Hii ni kwa sababu mwanzo wa wiki hii, magazeti na vyombo vya habari vilitoa habari kwamba vijana zaidi ya 100 kutoka Tigania kule Meru, wameletwa katika mji wa Voi ili kuchukua kazi za vibarua katika reli inayojengwa sasa katika Kaunti yangu ya Taita Taveta.
view
-
21 May 2015 in Senate:
Bw. Spika, tunajua kwamba kazi ni za Wakenya wote lakini hizi ni kazi za vibarua na vijana zaidi ya 100 waliletwa Voi Jumatatu asubuhi, basi wananchi walipigwa na butwaa. Walishangaa kuona watu hao wamefika katika busstation na hawajui mahali pa kwenda. Walipoulizwa na wananchi, walisema wameitwa kuandikwa kazi katika mradi wa reli. Cha kushangaza ni kwamba, inasemekana waliletwa na Mbunge wao wakiwa wameambiwa wanakuja kuandikwa kazi hapo. Walisema kila mmoja alilipa Ksh1,500 ili kuandikwa kazi hiyo. Maswali ninayouliza mimi kama kiongozi wa Taita-Taveta ni kwamba, kina mama wa Taita-Taveta wamezaa vijana wengi sana; vijana ambao hawana kazi ni zaidi ya ...
view
-
21 May 2015 in Senate:
Bw. Spika, maswali yangu ni kama ifuatavyo: (1) Je, kama akina mama wa Taita-Taveta kweli wanazaa na wana vijana, kwa nini wasiandikwe kazi za vibarua? (2) Njama hizi hazijaanza leo. Kuna barabara inayotengenezwa kutoka Taita- Taveta kuja Mwatate na malori na mabasi yanaleta watu kila usiku. Ninauliza hivi---
view
-
21 May 2015 in Senate:
Asante, Bw. Spika, nilikuwa najua sheria hiyo na ndio maana nilikuwa ninafuata mkondo huo.
view
-
21 May 2015 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
21 May 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I am a Member of the Committee. We will undertake to reply in two weeks’ time.
view
-
21 May 2015 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I am the one who asked for that Statement. I just wanted further clarification.
view
-
21 May 2015 in Senate:
Madam Temporary Speaker, that is why I am actually standing. The reason why we sought for that Statement is because Kenyans have been losing property and lives. Every rainy season we have had floods. Now that we have county governments in place, I thought the county governments in conjunction with the Ministry will undertake adequate measures to make sure that all structures that have been put up in water paths are demolished. That has not been responded to. Secondly, we are being told that there is a Bill which was passed in 2013 but to date, nothing has been done ...
view
-
21 May 2015 in Senate:
Yes, Mr. Temporary Speaker, Sir.
view
-
20 May 2015 in Senate:
Thank you Mr. Speaker, Sir. I rise to seek a statement from the Chairman of the Committee on Education. The ever growing number of university students has stretched the ability of lecturers to cope with the capacities. Some universities, therefore, have hired part time lecturers to plug in the deficit. It has now turned out that some of these part time lecturers are a disgruntled lot due to delayed payments. The common complaint is a breach of contract especially not being paid according to the agreed terms. This has happened mainly in public universities; Nairobi and Kenyatta universities where their ...
view