All parliamentary appearances
Entries 561 to 570 of 2696.
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
.Ametupatia takwimu na idadi ya madaktari waliopo na hii imetusaidia sana. Hoja hii ingepigwa msasa kidogo ndiyo iweze kusaidia wagonjwa wote ambao wako hospitali. Hoja inasema, “Bunge hili linahimiza Serikali ya kitaifa kufutilia mbali gharama zote za matibabu ya wagonjwa wote wanaofariki wakipokea matibabu katika hospitali za umma za rufaa.” Kama Hoja itapitishwa jinsi ilivyo, inamaanisha Wizara ya Afya itaweza kufuatilia hali vile ilivyo. Kuna mifano ya watu wengi. Ametoa mfano mzuri sana wa kijana mmoja ambaye mtoto wake wa mwezi moja alizuiliwa pale Kenyatta National Hospital (KNH). Kama vile Mohamed Ali amesema, mwanzo, alijaribu vile angeweza kuchangisha pesa kupitia ...
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Ali alipokuwa akitoa mchango wake, alisema mambo haya ya matibabu yarejeshwe katika Serikali kuu. Ningependa kutaja kwamba hospitali zote za rufaa ziko katika Serikali kuu.
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
Tunapoongea kuhusu kubadilisha Katiba, hiki ni kitu cha kwanza ambacho tunatakikana kuangalie katika Fourth Schedule ambayo inaorodhesha majukumu ya serikali za kaunti na Serikali kuu. Ingawaje Mhe. Ali amepeana mfano wa Makueni, Gavana wa Makueni anaweza kufanya mambo haya yatendeke. Je, Gavana wa Makueni akiondoka, tupate mwingine ambaye atarudisha huduma za afya nyuma kule Makueni, itakuaje? Kwa hivyo, tusiangalie tu Makueni ama kule Machakos ambako tumesikia Gavana Mutua amelipa deni. Je, baada by muda wao kuisha, tutakuwa na magavana wagani? Pengine watakuwa kama waliopo sasa hivi. Kwa hivyo, ninataka kuunga mkono ndugu yangu Mhe. Ali kwamba huduma za afya ziwepo ...
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
moja ya damu, sijui kama ataweza kuishi wiki nyingine nzima. Zaidi ya hayo, hata si mambo ya kutoa damu. Nafikiri ni jinsi ambavyo tunaweza kuinua hali ya maisha ya Wakenya. Siku hizi tunaenda kutoa damu kunapotokea janga lakini zamani ninakumbuka tukiwa shuleni, tulikuwa tunatoa damu wakati wote. Mtu alikuwa anaenda kwa hiari yake kutoa damu. Lakini siku hizi tunangoja mpaka janga lipatikane ndio tutoe damu. Kila mtu anahofia namna damu inavyotolewa. Sisi Wabunge tulialikwa siku moja hapa Uhuru Park tutoe damu na wengi wetu hatukuenda. Mimi nilienda pale lakini sikufikiwa. Kulitokea mambo mengine. Kwa hivyo, ni muhimu nimshukuru Mheshiiwa Ali ...
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. First, you are my friend. Second, you do very well when you are seated in the Chair. I rise to support the amendments to the matters that have been alluded to. Allow me not to repeat what my colleagues have said and go to some of the areas to which we need the Committee to bring some amendments, particularly on matters to do with funding, who is supposed to be funded and how that funding will be used. Secondly is about the membership. It is not right for us to forget the former sportsmen ...
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, we have so many players and many languish in poverty because this country does not remember the people who made it proud. Just as Hon. (Dr.) Kibunguchy has said, this week one of our sons was honoured at the international level and we congratulate him for his good work. It is not easy for him to have got that recognition but what happens once he retires?
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
It is the onus of the Committee to look at the former sportsmen and women who have brought us to the world map. Let us not allow them to die in poverty. The other day we read in the newspapers that one of our former athletes in the United States of America (USA) cannot afford ticket to come back here. These are the things that we want the Committee to look into and assist. We can only do that by having one of their own who is a former sportsperson either a man or woman being appointed to that board.
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
Secondly, most of the youth who have the energy should be included as members of the board so that they can effectively talk and articulate the needs of young people in terms of sports development in this country. It is always very difficult for young men to approach an old man such as me to share their sufferings. However, it will be very easy when they have an opportunity to talk to one of their own.
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
The other bit is about a national player doing a national duty and he gets injured. After that when he comes back…These national players are fetched from clubs and companies. However, when they are injured and come back that club tells them that they were injured when they were on national duty and there is no money to treat them. So, it is also important that any The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
player who gets injured in the line of national duty, this Fund looks into their medical upkeep and care.
view