David Ole Sankok

Parties & Coalitions

David Ole Sankok

Nominated by the Jubilee Party to represent Persons living With Disabilities (PWDs) in the National Assembly.

All parliamentary appearances

Entries 2071 to 2080 of 2182.

  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Mhe. anatoka eneo la Pwani na Kiswahili chake ni cha kiwango cha cha juu kidogo. Lakini tutajikakamua tukinene. Leo tutaongea Kiswahili. Naunga mkono Hoja hii ambayo imewasilishwa na Mhe. Ali, ambaye pia tunamjua kama “Jicho Pevu”. Hoja hii ambayo ameleta Bungeni tutaiunga mkono kama Wabunge na pia Wakenya wote. Hoja yenyewe inazungumzia shida ambayo imekuwa ikitukabili kama nchi. Ni shida ya afya yetu. Kama nchi, hatuwezi kuchezea afya yetu. Ni lazima tuhakikishe kuwa fedha The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: za kutosha zimetengwa ili isiwe Hoja zinaletwa Bungeni na baada ya kuzijadili, na kuafikiana kama Wabunge, zinakufia hapa; baada ya miezi ama miaka kadhaa hatuoni yale tumepitisha kama Wabunge. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Hongera Mhe. Ali. Hili ni tatizo kubwa sana. Kenya nzima ina hospitali mbili peke yake za rufaa ambazo ziko mbali kutoka nyingine. Watu kutoka Pwani huja hadi Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Inawachukua muda na watu wetu wanaaga njiani wakati wanasafirishwa. Hii ni shida kubwa sana. Hoja ya Mhe. Ali inafaa itiliwe maanani kabisa ili tuwe na hospitali ya rufaa Pwani. Lakini isiwe Pwani peke yake. Upande wa Kaskazini mwa Kenya pia inahitaji hospitali ya rufaa kwa sababu ni mbali. Watu wa eneo hilo hawawezi kusafiri kuenda Eldoret kwa urahisi. Ni mbali pia kwao kuja Nairobi. Hata tukiwa na Hospitali ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Tuko na shida pia ya migomo ya madaktari. Hawagomi bure. Madaktari sio kama wafanyikazi wengine wa Serikali. Wanafanya kazi masaa 24. Wanaitwa usiku wa manane, kwa mfano, kushughulikia mgonjwa ambaye labda walimtibu mchana lakini hakupata nafuu na anataka kuonana na daktari aliyemtibu wakati wa mchana. Inabidi daktari huyo amke ili aende kazini. Tunapoteza madaktari kwa sababu nchi jirani wanalipa madaktari vizuri kuliko Kenya. Kwa hivyo, inatakikana pia tufikirie tutambue shida yetu. Tunatoa mafunzo kwa madaktari wengi katika vyuo vikuu. Siku hizi, Chuo Kikuu cha Kenyatta na kile cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta vimeanzisha mafunzo ya udaktari. Pia tuko ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker, and the Mover of this Motion, Hon. Mbadi, who is my friend. Thank you very much the Seconder, His Excellency Aden Duale. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Hon. Members, for the first time, I am a very happy man now that the country has changed and has united under one slogan of “ Tuko Pamoja” - one nation, one love, one people, one Deputy President, one President, one God and same destiny. All of us are united and we are moving forward as a country. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Hon. Speaker, we appreciate the Rt. Hon. Raila Amollo Odinga for visiting the President of the Republic of Kenya, Uhuru Muigai Kenyatta, in his official office of Harambee House. That golden handshake has brought the country together and has toned down the tension that was developing in this country. For those who may have different opinion, we only understand one form of dialogue. The dialogue that we understand and we want as Kenyans is the dialogue that will lead to peace, tranquillity, inclusivity, reconciliation as well as prosperity. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: The handshake that the two leaders of this country had when they met on Friday has brought this country together. We have lost investors, tourists have run away, donors have escaped our country and even our friends who used to visit us from abroad are no longer visiting us. That is because of the tension that we had. But because of the coming together of our leaders, we are starting to see donors returning and our economy will be back on track. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: We want, as a House, to support and to come together and move this country to economic prosperity. For those who are saying that the coming together of the two great leaders will kill the Opposition in this country, they should know that there has not been Opposition in this country from 2013. We have only been having under the new Constitution the majority side and the minority side. Whenever we differ on opinion, it does not mean that we have the Opposition or the ruling side. When we differ, we agree. ODM still remains the biggest minority party and ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus