David Ole Sankok

Parties & Coalitions

David Ole Sankok

Nominated by the Jubilee Party to represent Persons living With Disabilities (PWDs) in the National Assembly.

All parliamentary appearances

Entries 921 to 930 of 2182.

  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Nitatoa mfano. Tuseme hii boma iko na bwawa ambalo ng’ombe anakunywa maji. Uko na mtoto wa Mjaluo, Maasai na Mhindi. Huyu wa Maasai analeta ng’ombe akunywe yale maji na huyu wa Mkikuyu anataka kupanda nyanya zake hapo karibu anyunyizie maji. Sasa, hawa watu wanapigana. Yule mtoto wa Mhindi anataka kutoa mineral water ndio auze. Yule mtoto wa Mjaluo anataka kuweka samaki. Huyu mtoto wa Maasai analeta ng’ombe 1,000 ambao view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: wanakojolea maji na wanaua wale samaki kwa sababu ya gasidi. Watoto wanapigana kwa boma halafu wanatoka nje. Katika ile boma ambayo iko na utaratibu mmoja… view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Kwa heshima, nimeondoa hiyo, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa sababu uko hapo. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Ya mwisho, wale ambao wameumia sana na hizi dawa za kulevya sio matajiri, ni wale ambao tunaita hustlers ambao ni watoto wa maskini. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa muda, nilinde kutoka kwa Mhe. Ichung’wah. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Nikimalizia, Mhe. Naibu Spika wa muda, naunga mkono Mswada huu. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, sijasema hivyo. Itabidi unilinde kutoka kwa Mhe. Millie Odhiambo. Unajua historia yake. Unajua maneno yake ni makali. Nimesema ya kwamba wale ambao wanaumia sana na wanauziwa dawa za kulevya... view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Katika historia ya Mhe. Millie Odhiambo, nakumbuka wakati alitembea bila viatu. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, kuna ushahidi katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara ya kwamba kile chakula kinaitwa ngumu ama KDF kinawekwa dawa za kulevya na bhangi na kinauziwa watoto pale mitaani. Ndio sababu nilikuwa nikisema kuwa saa zingine wale walio chini wanafanya watu wakuwe waraibu wa kutumia ngumu na KDF. Wanaendelea kuwa wachochole kwa sababu wanafanya kazi kidogo na ile pesa kidogo wanapata, wanaitumia kununua dawa za kulevya. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus