David Wafula Wekesa

Email

dvdwafula@yahoo.com

Telephone

0722949903

Telephone

0720678540

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 125.

  • 1 Sep 2016 in National Assembly: Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Hii ni fursa ambayo nimeingoja kwa hamu na gamu. Ni ajabu kuwa wenzetu wakiongea, wanafikiri kila mtu ameongea na wanataka kukatiza mjadala. Najua mengi yamehusishwa na huu Mkataba. Haswa ni mambo ya miraa na mengine. Ajabu, inasikitisha kwamba kulikuwa na Kamati ya kuchunguza hali ya mambo ya miraa. Nafikiria huo ndio ulikuwa wakati mwafaka wa hiyo kamati kukaa na Kamati inayohusika na mambo ya ulinzi na mashauri ya nchi za kigeni. Lakini, inasikitisha kwamba wao walipuuza hii Kamati. Nashangaa kusikia Mheshimiwa mwenzangu, Kajuju, akishutumu hii Kamati kwamba ilipuuza maneno yao ... view
  • 27 Jul 2016 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili nami niunge mkono Ombi hili. Najua watu wa Laikipia wameumia sana. Mzozo kati ya binadamu na wanyama pori ni jambo sugu sana hapa nchini. Naiomba Kamati ambayo inahusika na mambo ya wanyama wa porini iangalie jambo hili kwa kina sana ili binadamu aweze kukingwa kutokana na wanyama wa pori. Ninajua umuhimu wa wanyama pori hapa nchini lakini hatuwezi kulinganisha binadamu na wanyama pori. Ukitembea kote duniani utapata soko la wanyama pori lakini soko la binadamu halipatikani. Ninaunga mkono Ombi hili. view
  • 27 Jul 2016 in National Assembly: Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuchukua fursa hii kumpongeza ndugu yangu Mheshimiwa Injendi kwa kuleta Hoja hii. Ni wazi kwamba wazee wa kijiji wanafanya kazi muhimu na ngumu sana. Bali na malipo, ingekuwa vyema kama wangepewa mafunzo maanake kuna kazi nyingine ambazo wao hufanya na huwa nzito kwao. Mafunzo yatawawezesha kutekeleza kazi yao vyema. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 Jul 2016 in National Assembly: On a point of order, Hon. Deputy Speaker. view
  • 6 Jul 2016 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I do not want to interrupt my good friend who was contributing, but are you satisfied with the way Hon. Arati is dressed? He is wearing a Muslim hat? Has he become a Muslim from today? view
  • 29 Jun 2016 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 29 Jun 2016 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. Are you satisfied with the way Hon. Yusuf is behaving even though this is his Motion, by crossing from one side of the Floor to the other as if he is in Kamukunji Grounds? view
  • 29 Jun 2016 in National Assembly: Asante sana Mhe. Yusuf. Hongera kwa kuileta Hoja hii. Mhe. Aliileta Hoja hii kwa kuzingatia kwamba eneo lake la Bunge linatokana na jina “Kamukunji”. Sehemu nyingi hapa nchini hasa sehemu za mijini zinajulikana kwa jina “Kamukunji”. Ajabu ni kwamba watu wengi hawajui umuhimu ama maana ya jina “Kamukunji.” Nilipokuwa naongea na Mhe. Hassan, aliniambia kwamba Kamukunji isionekane kuwa ndogo. Ni sehemu kubwa ambayo imenyakuliwa. Ni ajabu kuwa sisi kama viongozi tunakaa hapa, sehemu muhimu zinanyakuliwa na tumenyamaza. Sio tu Kamukunji, ni sehemu nyingi za aina hii ambazo zimenyakuliwa. Wengi wetu ambao tumepata nafasi ya kupitia sehemu ya Kamukunji hupigwa na ... view
  • 15 Jun 2016 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili nami nijiunge na wenzangu kwa kuchangia Mswada huu. Mwanzo, ningependa kutumia nafasi hii kumpongeza na kumshukuru ndugu yangu, Mhe. Wafula Wamunyinyi kwa mawazo ya busara na hekima ya kuuleta Mswada huu. Najua Mhe. Wafula ana ujuzi wa miaka mingi kama mkulima wa miwa na mtetezi wa wakulima wanyonge ambao wamenyanyaswa kwa muda mrefu sana. Tayari, tunajua wakulima wengi wa miwa wamenyanyaswa kwa njia nyingi na hawajiwezi. Wengi wao hawajimudu kununua vifaa vya kupanda na kukuza miwa. Ingekuwa heri kama Serikali ingekuja na mbinu ambazo zitawezesha mkulima wa kawaida ... view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus