Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 751 to 760 of 893.

  • 26 Oct 2006 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, this Question involves Trans Nzoia District, which is the source of the water that flows into Lake Victoria. I would like to know from the Assistant Minister why water has to be pumped from downhill upwards, instead of tapping water from the source, by gravitation, to save the common man from spending money to buy fuel. What steps is he going to take to reverse the situation from use of fuel to natural flow? view
  • 26 Oct 2006 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Inaonekana kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, na hivyo ndivyo Bw. Ojode alivyo. Je, hiyo ni kweli au anafanya mzaha katika Nyumba hii? view
  • 26 Oct 2006 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Spika. view
  • 26 Oct 2006 in National Assembly: Bw. Spika, mimi nilisomea Ribe, halafu nikasomea Shimo la Tewa na ninajua Kiswahili sanifu hata kumshinda Bw. Balala! view
  • 26 Oct 2006 in National Assembly: Asante, Bw. Spika, kwa kuniruhusu kuchangia Hoja hii ambayo inahusu usawa wa jinsia na maendeleo. Wakati Serikali ilianza kuzingatia usawa wa jinsia, Wizara hii ilikuwa inawahudumia vijana na walemavu. Wakati huo, Wizara hii haikuzingatia mambo ya jinsia. Ilijihusisha sana na michezo na utamaduni. Hivi sasa, inajishughulisha sana na jinsia, michezo, utamaduni na huduma kwa jamii. Hoja hii inapendekeza Wizara hii izingatie usawa wa jinsia na maendeleo. Hii ni kwa sababu historia ndio msingi maalum wa siku za usoni. Mwaka wa 1975, marehemu Rais mwanzilishi wa Taifa hili, alianzisha mradi wa walemavu. Miradi mingi ilianzishwa ili kuwasaidia walemavu. Hivi sasa tunafaa ... view
  • 26 Oct 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, hili taifa ni la watu wote. Tukiangazia mambo ya elimu na uchumi, watu ndio msingi wa taifa hili. Wanaweza kutupatia maisha bora katika siku zijazo. Wahenga walisema: "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!" Wakati nilipofumba hilo fumbo kwa Bw. Ojode, Bunge liliyumbayumba kwa sababu wengi hawajui Kiswahili. Hata Bw. Balala, ambaye anatoka Pwani, Kiswahili chake ni chepe chepe! Hakuweza kufumbua fumbo nililofumba - mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mtoto anatunzwa na wazazi wake na ikiwa hakutunzwa vizuri, tabia yake huwa mbovu. Wanasema elimu ya mtu huanzia nyumbani. view
  • 26 Oct 2006 in National Assembly: Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Wanataka sisi tunaokaa viti vya nyuma tukaze shingo zetu ili twende huko mbele kuomba maji. Mtuwiye radhi tuseme tunayoyajua. Magurudumu ya nyuma ndiyo huendesha gari na wala sio ya mbele. Bw. Naibu Spika wa Muda, Hoja hii ina maana sana kwa sababu inazingatia mambo yatakayokuja baadaye. Tutawezaje kufuata utamaduni, mambo ya jinsia na maendeleo ikiwa hatuna mpango? Mpango wowote Serikalini unaanza na Wizara inayohusika na utamaduni. Namuomba Waziri azingatie mambo hayo. Idara ya Vijana ilitoka kwa hiyo Wizara. Serikali haijasema ni kiwango gani cha pesa za vijana kitaenda kwa viwete na viziwi. Hawana ... view
  • 26 Oct 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. Debate on this Motion has been going on for some time now, and there is a lot of repetition. Could you, according to Standing Order No. 87, call upon the Mover to reply? view
  • 26 Oct 2006 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Vidokezi katika Mswada huu sasa vinarudiwa. Ningeomba Mwanzilishi wa Mswada huu sasa ajibu. 3226 PARLIAMENTARY DEBATES October 26, 2006 view
  • 26 Oct 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. I wish to inform the Chair that this Bill has been debated exhaustively and under Standing Order No.87, I beg to move that the Mover be now called upon to reply. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus