All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 112.

  • 22 Mar 2017 in National Assembly: Asante sana Mhe Spika wa Muda kwa kunipa hii nafasi niweze kuchangia Hotuba ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Muigai Kenyatta. Mengi yamesemwa na wale ambao wameongea mbele yangu. Mhe Rais hakutaja mambo yote ameyatenda. Watu wote wanasema amefanya miaka tano. Ninashangaa vile tunahesabu miaka kwa sababu tulimaliza miaka nne mwezi wa tatu ilhali ile kazi ambayo tunaongea juu yake ni kama ya miaka kumi. Tumeshukuru vile Mhe Rais amejaribu hata kuwaunganisha Wakenya. Kuwaunganisha Wakenya ni jambo moja muhimu kuliko kujenga barabara, reli ama madarasa. Mhe. Naibu Spika wa Muda, sisi kinamama tulikuwa tumesahaulika. Wakati Serikali ya Jubilee ... view
  • 22 Mar 2017 in National Assembly: wakiongezeka, kura pia zitaongezeka. Jana nilitembelea Hospitali ya Ruiru, ambako nilishuhudia madawa na vifaa vingi vya matibabu vikipelekwa pale. Hii ni kwa sababu Serikali inafanya kazi. Kwenye ghala la madawa niliona vifaa ambavyo hutumiwa kuwasaidia kinamama wakati wanapojifungua. Kwa hivo, yangu ni kusema kwamba Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta, amefanya kazi kubwa katika kipindi cha miaka minne.Tunamuunga mkono kwa sababu yeye ni Rais wa kwanza kushikilia uongozi wa Serikali yenye viwango viwili – serikali za kaunti, ambazo ziko na magavana na Serikali ya kitaifa, ambayo ina Wabunge. Pia, ninampongeza kwa sababu ametuunganisha sisi sote; makabila yote ... view
  • 25 Jan 2017 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 25 Jan 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I was listening to Hon. Kang’ata because I do not want anybody to soil the reputation of the boda boda people. Later, I understood that he was protecting them. I was of the same idea that sometimes they suffer. When you go to Ruiru, I am Mama Boda Boda . That is why I was so keen to listen to what Hon. Kang’ata was saying. Thank you. view
  • 5 Oct 2016 in National Assembly: On a point of order. view
  • 5 Oct 2016 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I just wonder whether the Hon. Member for Murang’a County is discussing about education or it is about Pastor Esther Gathogo, MP Ruiru. That is because I know I am a singer, preacher, politician and a mother. So, I do not know why she is trying to discuss one side of me and yet, she knows me very well. view
  • 16 Aug 2016 in National Assembly: This is a Petition by a former school principal on unlawful interdiction by the TSC. I, the undersigned, Esther Nyambura Gathogo, Member of Parliament - Mama ako sawa, view
  • 16 Aug 2016 in National Assembly: on behalf of Ephraim Kamuhu Wambugu, a Kenyan citizen draw the attention of the House to the following:- THAT, in 1993, Mr. Ephraim Kamuhu Wambugu was engaged by the Teachers Service Commission (TSC) as a graduate Teacher and posted to Masinga Girls Secondary School; THAT, in 1997, the petitioner was promoted to the position of Deputy Principal and further promoted to the position of Principal at Kiamariga Secondary School in 2006; THAT, in addition to being a principal, the petitioner was also elected and served as the Chairman of Mathira District Schools Head Association; THAT, the petitioner served as the ... view
  • 16 Aug 2016 in National Assembly: THAT, this has caused him social, emotional and psychological trauma and led to depression; THAT, on 16th March, 2015, the petitioner was interdicted with allegation of desertion of duty; THAT, the petitioner launched several appeals with the TSC for intervention regarding the matter but efforts to resolve the matter have borne no fruits; THAT, the matter presented in this Petition is not pending before any tribunal or court of law; Therefore, your humble petitioner prays that the National Assembly, through the Departmental Committee on Education, Research and Technology:- i. recommends reinstatement of Mr. Ephraim Kamuhu Wambugu as the principal by ... view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kuchangia Hoja hii. Kabla sijaendelea, ningependa kukupongeza kwa kupewa kiti ambacho ni muhimu. Hiki ni kiti ambacho kinasimamia kila mtu. Tunajua tutaendelea vizuri tukiwa na wewe. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus