All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 112.

  • 3 Aug 2016 in National Assembly: Tunaongea kuhusu Hoja ya maji katika shule za msingi. Katika eneo bunge langu, kupata maji ni shida. Kuna Shule ya Msingi ya Mwiki, ambayo iko na watoto 3,000. Ningependa Wabunge wa eneo hilo na marafiki wangu waje waone shule ambayo iko na watoto wengi zaidi katika nchi yetu ya Kenya. Maji yakikosekana katika Shule ya Msingi ya Mwiki, sisi huomba watoto wetu warudi nyumbani. Ninashukuru kwa sababu wakati Rais wa Jamhuri ya Kenya alitembelea Kaunti ya Kiambu, alituelezea kwamba tutapata maji. view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: Katika eneo bunge langu, kuna soko ambalo sisi sote hununua vyakula ambavyo hupikwa nyumbani mwetu. Tumejenga vyoo na bafu. Tulijenga bafu kwa sababu watu wakitoka kuchukua The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: vyakula vyao vya kutuuzia kutoka mashamba, badala ya kwenda nyumbani, wanatumia bafu hizo kuoga ndio waende kazini. Kama hakuna maji sokoni, inakuwa shida kwa sababu inabidi mtu apeleke bidhaa sokoni halafu arundi nyumbani kuoga, na kwa hivyo anapoteza wakati. Kwa sababu hii mimi ninaunga mkono Hoja hii. Ninajua mambo mengi ya maji yako katika serikali za ugatuzi. Tukishikana mikono kama viongozi, tutasaidia watoto wetu shuleni na watu wengi masokoni na kwingineko ndio tuweze kusaidiana katika kuleta usafi humu nchi. view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia hii nafasi. view
  • 20 Jul 2016 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 20 Jul 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. There is nothing wrong. I am just excited to see my children in the Public Gallery. I want to say hallo to them and send them to their parents to say hallo to them. I am so much excited. view
  • 20 Jul 2016 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 20 Jul 2016 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I just want to correct Hon. Midiwo that the topic is not Hon. Esther Gathogo. However, I thank you because my children can see that I am very active in Parliament. Thank you very much. God bless you. view
  • 8 Jun 2016 in National Assembly: Asante, Mheshimiwa Spika kwa kunipa nafasi hii. Ninataka kupinga Ombi hili kwa sababu Mheshimiwa mwenzangu amesema kwamba Waziri hamjui Mungu. Ninajua kuwa yeye ni kiongozi katika Kanisa la Seventh Day Adventist (SDA). Kwa hivyo, tukiongea kuhusu mambo ya maombi ninajua kuwa anayafahamu. Ni vizuri sana kuelewa kwanza ni kwa nini tulipinga suala la maombi. Tulimwambia Waziri aangalie ni njia gani The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 8 Jun 2016 in National Assembly: mtihani huu hautaibwa. Waziri akija na njia ambayo ameona inafaa, si vizuri kusema kwamba amekosea. Sisi kama Wabunge tunapaswa tuungane mkono pamoja na Waziri, na tumsaidie kutafuta njia ambayo mtihani utafanywa bila kuibiwa. Lakini ninajua kwamba Waziri anajua mambo ya maombi kwa hivyo, si maombi anayopinga ila anajaribu kutafuta njia ambayo mtihani hautaibiwa. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus