4 May 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I second.
view
4 May 2016 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
27 Apr 2016 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Kabla niongee kuhusu Mswada ulio mbele yetu, ninataka kusalimia Waheshimiwa wenzangu. Nimeambiwa niwasalimie na watu wa eneo la Uwakilishi Bunge la Ruiru. Yafaa tuungane na akina mama katika mambo yaliyo mbele yetu. Ninaunga mkono nikisema kwamba mara nyingi tunafanya mambo na kukosea kwa kukosa kuelewa. Kama vile wenzangu wamechangia mbeleni, ni vizuri tuangalie mimea na hata mbegu ambazo ziko katika nchi yetu ya Kenya. Kile kitu tulicho nacho na labda tunadharau ni kwamba tunaona vifaa vya ugenini vikiwa muhimu kuliko vile tunavyo hapa. Ninatazama runinga sana. Nilikuwa ninaona mzee ...
view
27 Apr 2016 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninamwomba kwa heshima kuwa nikitoka nje aniulize yale maneno. Wakati mwingi---
view
27 Apr 2016 in National Assembly:
Nilinde Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ninafikiri hilo jambo limewafurahisha sana. Wengi wamesoma na wanajua kuhusu mimea ambayo tuko nayo. Kile kitu tunakosa ni watu wa kueleza wananchi wa kawaida kuhusu yale maoni ama masomo ambayo wamesoma. Saa zingine tunaidharau hiyo mimea kwa sababu tunaona kama mimea ya kiasili imeisha. Ningeomba kila mtu atilie maanani hiyo mimea na tuilinde ndiposa tuweze kuendelea. Wakati mwingi hata ukiwa na ugonjwa unaambiwa ukichemsha majani haya na unywe maji yake labda utakuwa sawa. Wengine, hasa mimi, saa zingine tunaambiwa kwamba tumbo zetu ni kubwa na kwa hivyo tunywe maji ya majani fulani, na hayo ...
view
30 Mar 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker for giving me this opportunity. Initially, I had interrupted debate because I wanted clarification from Hon. Ferdinand Wanyonyi because we are only talking of the IDs in terms of voting but I thought it was better if he said that waiting cards should also be used in other offices. We may only think of voting but people are suffering out there because of lack of IDs. We should declare that waiting cards should be used in all offices. We have been having problems with IDs especially in my constituency which is cosmopolitan. Many people are ...
view
29 Mar 2016 in National Assembly:
Asante Mhe. Spika. Nimekuwa nje kwa muda kidogo kwa sababu ya shughuli. Ninataka kumwambia Mhe. Jakoyo kwamba tusiingize mambo ya siasa ya ugavana katika CDF. Sisi tumekuwa tukifanya kazi ya kutengeneza hiyo sheria na tunajua kwamba hatujalala. Tutaendelea kushikana vile umesema. Tafadhali, hiki ni kitu ambacho kinagusa kila mtu, hata mimi na Mwenyekiti. Kwa hivyo, tutaungana ndio tuweze kusaidia Wabunge waheshimiwa. Asante sana.
view
2 Mar 2016 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker.
view
2 Mar 2016 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Hoja ambayo iko mbele yetu ni muhimu. Nashukuru Mhe. Chris Wamalwa kwa kuileta. Ombi langu ni moja. Kwa sababu kila Mbunge anayesimama anaongea kuhusu shida zilizoko katika sehemu yake wa Uwakilishi Bungeni, ni kama hii shida iko kila mahali. Sijasikia mtu akisema ya kwamba kuna watu ambao wako maeneo ya Bunge ya mijini ambao wanaambiwa waende kwao wakachukue---
view
2 Mar 2016 in National Assembly:
Yangu ni kuuliza kwa heshima kubwa, Mhe. Naibu Spika wa Muda, tupunguze muda wa kuchangia Hoja hii ili kila mtu aweze kupata nafasi. Ni Hoja muhimu sana.
view